Kijana wetu wetu alimaliza shahada yake ya uzamili ya ufundi. Alipata ajira za muda mfupi hapa na pale, aliitwa Rwanda, Botswana na kuna wakati alikaa miezi kama mitatu akisaka ajira.
Kuna siku alipata emaile kutoka Afrika ya Kusini. Walimtaka afanye video interview, alifanikiwa hatua ya...