Hivi bado kuna Waafrika wanaamini wataenda mbinguni kwa kwa kubatizwa na kusilimu majina ya kizungu na kiarabu?
Ujinga ukizidi hubadirika kuwa dhambi!!
Wakuu,
Nimeona mimba nyingi ila hii ni aina yake.
Huyu mwanamke ndo mimba yake ya kwanza lakini sasa
Anatapika kila anachokulaaa anatapika chakula kinaisha had anatapika maji hamna kinachotoka.
Muda wote. Tumbo linamuuma na kumvuruga muda woteee.
Hawezi kutembea hawezi kufanya kazi wala...
Kwa uzoefu wangu wa marafiki zangu waliodate na kuoa wazungu (japo mimi sijawahi) lakini nimethibitisha kwa wale waliowahi kuwaingia ni kwamba: mwanamke wa kizungu mkielewana na kukukubaliana kamwe hawezi kuchepuka!
Muda wate atakuwa pale kwa ajili yako kwa sharti moja tu "na wewe uwe pale kwa...
Waafrica wote akili zetu zinafanana,
Ustaadhi Ngolo Kante amevamia mtumbwi wa vibwengo kwa kuoa lishangaji Jude Littler lenye watoto watatu na umri wa miaka 47.
Historia ya shangazi huyo huko nyuma sio nzuri Djibril Cisse aliwahi kuwa nae huko nyuma aliambulia kupigwana kitu kizito.
Pesa zote...
1. Nawasihi sana ndugu zangu vijana msiige kila mnayoyaona mitandaoni. Influencer anapiga domo kwenye Instagram kwamba ni financially independent kumbe ana babu yake a.k.a SANTA CLAUS anayemfadhili.
2. Dada huko insta anatema shombo na kujidai motivation speaker, shule hamna na akili ya maisha...
Heshima yenu wakubwa Kwa wadogo.
Nina swali gumu sana naomba mnijibuni.
Kwa anayejua PIKIPIKI kwa KIZUNGU inaitwaje naomba anisaidie.
Atakaeleta jibu sahihi zawadi yake ni vocha ya Tsh 10,000/= ( elfu kumi tu).
Asanteni sana.
Wabongo wengi tunapenda sana vya bure kwenye ulimwengu wa kidijitali, ni mwendo wa kudownload muvi / games / series / miziki / vitabu / software / window , n.k. nakumbuka hata nikiwa chuoni maktaba ilituandalia vipeperushi vya tovuti za kudownload vitabu bure, pia mwalimu wetu wa somo la...
Kabla ya Iran kurusha missiles kwenda Israel waandishi walimuuliza Biden kama anategemea Iran kuishambulia Israel. Biden alichojibu ni "very soon". Na kabla ya kutoa kauli hii wizara ya ulinzi ilikuwa ishasema ndani ya masaa 24 au 48. Kilichotokea kiliendana sawa sawa na kauli za viongozi wa...
Ni siku ya leo nimekumbuka nikiwa kwenye mahusiano hapo miaka ya 2015 na binti moja mrembo, mapenzi yalinoga sana lakini baada yakuanza kuishi nae niliona mapungufu mengi sana, la kwanza kabisa alikuwa hajui kupika yani ugali sometimes unakuwa mbichi halafu hata hajishughulishi kuongeza mboga za...
SIKUJUA KICHAA ANAELALA NJE YA JENGO LANGU NI MPELELEZI ANAEMTAFUTA GAIDI WA KIZUNGU NILIYEMUOA BILA MIMI KUJUA NI GAIDI😳🔥
Sehemu ya Kwanza ( 1 )
***************
KILA Mtu
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ilikuwa takribani siku nne zimekatika tangu nianze kumuona mwanaume kichaa nje ya jumba langu akiwa...
Mimi ni mpenzi sana wa kutembea kwa miguu. Sio kwamba natembea umbali mfupi, la hasha, napiga majembe kweli, yaani mwendo wa Bahari Beach hadi Mwenge au Makumbusho kwangu ni kawaida sana.
Kuna siku nilipost hapa kwamba nimetembea kilometres 43 lwa siku moja, watu wakabisha vibaya sana.
Katika...
Jini la kizungu ni nini? Jini la kizungu ni bunduki.
Kazi ya jini la kizungu ni nini?
Kazi ya jini la kizungu ni kuua.
Ukifuga jini la kizungu nyumbani kwako jini litatarajia kwamba utalipa kazi yake ya asili( kuua)
Litakuwa linasubiri ulipe damu.
Usipo Lipa damu litaitaka damu yako...
Endapo ikatokea serikali imetoa barua na kuirusha mkutanoni lakini ikabainika ina tatizo la kiufundi kwamba mwandishi alikosea lugha ni hatua zipi ufuatwa kuiondoa mtandaoni na kuweka barua iliyo sahihi?
Lazima iandikwe barua ya kuifuta? Au ndio zile zinaandikwaga puuzeni ujumbe huu?
Je , ni...
Balozi Dkt. Willibrod Slaa anazungumza na Wanahabari katika Hoteli ya Regency Jijini Dar es Salaam, leo Juni 13 2023 kuhusu hati ya makubaliano yaliyoingiwa kati ya Tanzania na DP World.
Soma hapa hotuba nzima
=======
Dkt. Slaa: Hadi kufikia hatua ya azimio hili kuridhiwa na Bunge, ikumbukwe...
bandari
bandari za zanzibar
bungeni
ccm
dp world
dr slaa
dubai
hizi
kelele
kizungu
mkataba wa bandari
slaa
tanzania
tanzania bara
viwanja vya ndege
watanganyika
wawekezaji
zanzibar
Naamini hili jukwaa lina watu wengi wanaofahamu tamaduni za watu wa Ulaya na Marekani.
Inaonekana ni kawaida kwa baadhi ya watu wa Ulaya kuwapa watoto wao majina mawili kwa mkupuo, ambayo hayana uhusiano na jina lake (mzazi).
Mfano, baba anaweza akawa anaitwa James Allen Robert, lakini mtoto...
Nimeshangaa sana kusoma habari kwa millard Ayo eti mtoto wa miaka 8 huko kwa Obama ameiba Gari na amekimbizana na Polisi barabarani😂😂😂
At 8 years mtoto anajua driving? Ana control barabarani kabisa in busy roads?
Huku Afrika huyu mtoto akitumwa dukani tu anakunjiwa elfu 10 kwenye karatasi...
Madai kuwa Watanzania hawajui lugha ya Kimataifa, "English", si sahihi kwa asilimia mia. Lakini nakubali kuwa kuna Watanzania ambao kwa nafasi zao, walipaswa kufahamu Kizungu kwa ufasaha lakini kwa "bahati mbaya", imekuwa kinyume chake.
Wapo Watanzania wenye Elimu ndogo sana lakini wanaongea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.