kizungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Hivi bado kuna Waafrika wanaamini wataenda mbinguni kwa kwa kubatizwa na kusilimu majina ya kizungu na kiarabu?

    Hivi bado kuna Waafrika wanaamini wataenda mbinguni kwa kwa kubatizwa na kusilimu majina ya kizungu na kiarabu? Ujinga ukizidi hubadirika kuwa dhambi!!
  2. Mke wangu anateswa na mimba ya Aina yake?? Kutapika, tumbo kuvuruga na kizungu zungu

    Wakuu, Nimeona mimba nyingi ila hii ni aina yake. Huyu mwanamke ndo mimba yake ya kwanza lakini sasa Anatapika kila anachokulaaa anatapika chakula kinaisha had anatapika maji hamna kinachotoka. Muda wote. Tumbo linamuuma na kumvuruga muda woteee. Hawezi kutembea hawezi kufanya kazi wala...
  3. Kifikra, kimawazo na kiakili, mwanamke wa kizungu yuko juu sana na wabantu

    Kwa uzoefu wangu wa marafiki zangu waliodate na kuoa wazungu (japo mimi sijawahi) lakini nimethibitisha kwa wale waliowahi kuwaingia ni kwamba: mwanamke wa kizungu mkielewana na kukukubaliana kamwe hawezi kuchepuka! Muda wate atakuwa pale kwa ajili yako kwa sharti moja tu "na wewe uwe pale kwa...
  4. Ngolo Kante hatarini kufirisika,ameoa shangazi wa kizungu mwenye miaka 47

    Waafrica wote akili zetu zinafanana, Ustaadhi Ngolo Kante amevamia mtumbwi wa vibwengo kwa kuoa lishangaji Jude Littler lenye watoto watatu na umri wa miaka 47. Historia ya shangazi huyo huko nyuma sio nzuri Djibril Cisse aliwahi kuwa nae huko nyuma aliambulia kupigwana kitu kizito. Pesa zote...
  5. "Influencer" wa Instagram atambulisha danga - Babu wa kizungu

    1. Nawasihi sana ndugu zangu vijana msiige kila mnayoyaona mitandaoni. Influencer anapiga domo kwenye Instagram kwamba ni financially independent kumbe ana babu yake a.k.a SANTA CLAUS anayemfadhili. 2. Dada huko insta anatema shombo na kujidai motivation speaker, shule hamna na akili ya maisha...
  6. Kizungu, Kizungumkuti na kizunguzungu!

    Heshima yenu wakubwa Kwa wadogo. Nina swali gumu sana naomba mnijibuni. Kwa anayejua PIKIPIKI kwa KIZUNGU inaitwaje naomba anisaidie. Atakaeleta jibu sahihi zawadi yake ni vocha ya Tsh 10,000/= ( elfu kumi tu). Asanteni sana.
  7. Watu wa Blues mkuje mnisaide natafuta jina la huu wimbo wa kizungu

    Wimbo kaimba mdada ila nakumbuka tu kwenye kiitikio, Anaimba aie ieeee aeee eha Apolo apolo aeee eha Aie ieeee aeee eha apolo apolo aeee eha Sijui kaimba nani
  8. G

    Kufosi kuishi kizungu kwa shotcut za kibongo, Nina rundo la muvi/miziki/pdf za kudownload, kuna usalama wa online backup au nitunze kwenye external ?

    Wabongo wengi tunapenda sana vya bure kwenye ulimwengu wa kidijitali, ni mwendo wa kudownload muvi / games / series / miziki / vitabu / software / window , n.k. nakumbuka hata nikiwa chuoni maktaba ilituandalia vipeperushi vya tovuti za kudownload vitabu bure, pia mwalimu wetu wa somo la...
  9. Hauwezi pambana na intel ya USA. Jamaa wanajua kile unachotaka kuwafanyia na kama hawajui watakupata tu baada ya kuwafanyia

    Kabla ya Iran kurusha missiles kwenda Israel waandishi walimuuliza Biden kama anategemea Iran kuishambulia Israel. Biden alichojibu ni "very soon". Na kabla ya kutoa kauli hii wizara ya ulinzi ilikuwa ishasema ndani ya masaa 24 au 48. Kilichotokea kiliendana sawa sawa na kauli za viongozi wa...
  10. Kwanini malaika wana majina ya Kizungu na majini (mapepo) yana majina ya Kiarabu?

    Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc Jini Sharif, Maimuna, etc Kwanini?
  11. Mnaowalea watoto wa kike bila kuwafundisha kazi za nyumbani mnawaandalia mazingira gani wakiwa wakubwa?

    Ni siku ya leo nimekumbuka nikiwa kwenye mahusiano hapo miaka ya 2015 na binti moja mrembo, mapenzi yalinoga sana lakini baada yakuanza kuishi nae niliona mapungufu mengi sana, la kwanza kabisa alikuwa hajui kupika yani ugali sometimes unakuwa mbichi halafu hata hajishughulishi kuongeza mboga za...
  12. Sikujua kichaa anayelala nje ya jengo langu ni mpelelezi anayemtafuta gaidi wa Kizungu niliyemuoa bila mimi kujua ni gaidi

    SIKUJUA KICHAA ANAELALA NJE YA JENGO LANGU NI MPELELEZI ANAEMTAFUTA GAIDI WA KIZUNGU NILIYEMUOA BILA MIMI KUJUA NI GAIDI😳πŸ”₯ Sehemu ya Kwanza ( 1 ) *************** KILA Mtu πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Ilikuwa takribani siku nne zimekatika tangu nianze kumuona mwanaume kichaa nje ya jumba langu akiwa...
  13. Kuna kababu ka kizungu kanatembea kichizi kwa miguu.

    Mimi ni mpenzi sana wa kutembea kwa miguu. Sio kwamba natembea umbali mfupi, la hasha, napiga majembe kweli, yaani mwendo wa Bahari Beach hadi Mwenge au Makumbusho kwangu ni kawaida sana. Kuna siku nilipost hapa kwamba nimetembea kilometres 43 lwa siku moja, watu wakabisha vibaya sana. Katika...
  14. Watanzania acheni kufuga "Majini ya kizungu"

    Jini la kizungu ni nini? Jini la kizungu ni bunduki. Kazi ya jini la kizungu ni nini? Kazi ya jini la kizungu ni kuua. Ukifuga jini la kizungu nyumbani kwako jini litatarajia kwamba utalipa kazi yake ya asili( kuua) Litakuwa linasubiri ulipe damu. Usipo Lipa damu litaitaka damu yako...
  15. R

    Serikali ikikosea (grammatical errors) kwenye barua za kizungu zinazokwenda kwa umma; utaratibu wakuifuta mitandaoni ni upi?

    Endapo ikatokea serikali imetoa barua na kuirusha mkutanoni lakini ikabainika ina tatizo la kiufundi kwamba mwandishi alikosea lugha ni hatua zipi ufuatwa kuiondoa mtandaoni na kuweka barua iliyo sahihi? Lazima iandikwe barua ya kuifuta? Au ndio zile zinaandikwaga puuzeni ujumbe huu? Je , ni...
  16. Bandari na DP World: Dkt. Slaa asema ni uuzaji wa Nchi. Adai Serikali iliyopo ina uhalali wa wasiwasi

    Balozi Dkt. Willibrod Slaa anazungumza na Wanahabari katika Hoteli ya Regency Jijini Dar es Salaam, leo Juni 13 2023 kuhusu hati ya makubaliano yaliyoingiwa kati ya Tanzania na DP World. Soma hapa hotuba nzima ======= Dkt. Slaa: Hadi kufikia hatua ya azimio hili kuridhiwa na Bunge, ikumbukwe...
  17. Majina ya watoto wa nchi za Magharibi

    Naamini hili jukwaa lina watu wengi wanaofahamu tamaduni za watu wa Ulaya na Marekani. Inaonekana ni kawaida kwa baadhi ya watu wa Ulaya kuwapa watoto wao majina mawili kwa mkupuo, ambayo hayana uhusiano na jina lake (mzazi). Mfano, baba anaweza akawa anaitwa James Allen Robert, lakini mtoto...
  18. Katika umri wa miaka 10 tu, kuna tofauti KUBWA SANA kati ya mtoto wa kiafrika na mtoto wa kizungu

    Nimeshangaa sana kusoma habari kwa millard Ayo eti mtoto wa miaka 8 huko kwa Obama ameiba Gari na amekimbizana na Polisi barabaraniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ At 8 years mtoto anajua driving? Ana control barabarani kabisa in busy roads? Huku Afrika huyu mtoto akitumwa dukani tu anakunjiwa elfu 10 kwenye karatasi...
  19. Wanasema hatujui Kizungu, lakini tumeshajitathmini kwenye Kiswahili?

    Madai kuwa Watanzania hawajui lugha ya Kimataifa, "English", si sahihi kwa asilimia mia. Lakini nakubali kuwa kuna Watanzania ambao kwa nafasi zao, walipaswa kufahamu Kizungu kwa ufasaha lakini kwa "bahati mbaya", imekuwa kinyume chake. Wapo Watanzania wenye Elimu ndogo sana lakini wanaongea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…