kizungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maeneo gani hapa Dar naweza pata mwanamke wa kizungu?

    Je nikijichanganya mitaa ipi hapa nitakuwa na nafasi kubwa kukutana na wazungu wengi na hatimaye nikaopoa mchumba ? Nahitaji kuanza kucheza mechi za kimataifa ili niwe balozi Msaada please
  2. Nimeponyeka kutapeliwa na rafiki wa facebook

    "Mwanamke mmoja wa kizungu aliniomba urafiki huko Facebook, nikakubali na akaruka inbox siku hiyo hiyo. Alijitambulisha kwa jina la Dkt.Christina kutoka London, Uingereza. Akasema yeye ni daktari bingwa wa magonjwa ya watoto katika hospital kubwa huko London. Pia anapenda kumtumikia Mungu...
  3. Majina ya Kizungu na Kiarabu ambayo yamekuwa "Africanized" na kupata hadhi ya kuwa majina ya Kiafrika

    Yapo majina ya kizungu na kiarabu ambayo yanatumiwa na kuhusudiwa sana na baadhi ya makabila ya kitanzania kiasi kwamba sasa yanaonekana kama ni majina ya makabila hayo. Baadhi ya majina hayo ni pamoja na: 1. John: Wasukuma. Wasukuma wanalipenda sana hili jina. Ukikutana na mtanzania anaeitwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…