Wakuu Merry Christmas kwenu
Siku ya kwanza wewe kusikia jina KIBAKA ulikuwa unafikiria nini??🤔🤔😅😅
Kwangu Mimi nilikuwa najua ni wazee wa kubaka tu😅 yaani wao wakikukuta kwenye 18 zao hamna maelezo wao ni Wanakubaka TU.
Vipi kwenu wakuu??
Tuseme Mtoto wako anapenda hesabu Ile balaa na anataka msaada wa baba/ mama.
Je, wewe kama mzazi unaweza kumpigia namba mpaka darasa la ngapi bila kudesa?
Inakera sana kusikia chombo rasmi cha habari, kilichoaminiwa na serikali mpaka kupata leseni kushiriki kueneza upuuzi kwa lengo tu la kupata Wasikilizaji au Wafuatiliaji.
Tunaweza kuchukulia mambo kirahisi lakini amini amini nawaambia madhara yake yanaitafuna jamii taratibu na tutadhalilika...
Tatizo la Nchi hii Waandishi wetu hawako inquisitive na analytical ni watu wa mihemuko na kukimbilia matukio tu!
Hili suala la huyu mtu anayedaiwa kutaka kuuza nyumba ya NHC inaripotiwa kizushi sana utadhani watu wote ni wajinga!
Ni hivi, huo ni utaratibu uliozoeleka sana hapa Nchini na...
Kama miaka 10 iliyopita hivi nilipata safari ya kikazi kwenda huko mbali kwa muda wa miezi sita. Kwa sababu ndoa yangu ilikuwa bado ni changa, nikaona nimtafutie majukumu mazito mama watoto wangu ili nitakapokuwa huko nje, asiweze kushawishika na mabaharia wa mjini.
Nikampa kazi ya kwenda...
Swali la kizushi: Kwa hiyo english yako unayojivunia unaweza kugombana na mzungu masaa mangapi?
Yaan mfano imetokea mmekwaluza kidogo labda kakuovertake kibabe,kakuchukulia dem wako baa,au labda kakupakazia mbovu kwa bosi wako, demu au mwana.
Sasa yeye ni mzungu na lugha ya english ndo...
Kesi ambazo sio za msingi ni wakati wa kuzifuta hasa kwa upinzani. Kesi nyingi ni za kuongea au kumpinga Hayati Magufuli kimawazo lakini DPP amegeuza kuwa kesi za uchochezi. Lakini hata kisheria Raisi mwenyewe hayupo tena hivyo futa kesi zisizo za msingi au Rais Mama Samia atakufuta kazi wewe...
Swali la KIZUSHI: Je, wahitimu ufundi VTC si mahiri kama mafundi wajifunzao chini ya mwembe?
Fundi magari. Fundi cherehani. Fundi ujenzi. Fundi umeme.
n.k.
Hudaiwa huku mitaani kwamba wale waliojifunza vyuoni "hujua ya vitabuni tu, lakini ukimleta mtaani, huwezi kumlinganisha na aliyejifunza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.