Kesi ambazo sio za msingi ni wakati wa kuzifuta hasa kwa upinzani. Kesi nyingi ni za kuongea au kumpinga Hayati Magufuli kimawazo lakini DPP amegeuza kuwa kesi za uchochezi. Lakini hata kisheria Raisi mwenyewe hayupo tena hivyo futa kesi zisizo za msingi au Rais Mama Samia atakufuta kazi wewe...