kizza besigye

Warren Kizza Besigye Kifefe (; born 22 April 1956), known as Colonel Dr. Kizza Besigye, is a Ugandan physician, politician, and former military officer of the Uganda People's Defence Force. He served as the president of the Forum for Democratic Change (FDC) political party and was an unsuccessful candidate in Uganda's 2001, 2006, 2011, and 2016 presidential elections, losing all of them to the incumbent, Yoweri Museveni, who has been president of Uganda since 26 January 1986. The results of the 2006 elections were contested in court, and the court found massive rigging and disenfranchisement. Besigye allowed an early internal FDC election for a successor president, which took place on 24 November 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. Kiongozi wa upinzani Kizza Besigye agoma kula gerezani ili kupinga kuendelea kushikiliwa

    Kiongozi wa upinzani wa Uganda, Dkt. Kizza Besigye amegoma kula chakula katika gereza la Luzira, Mjini Kampala kwa madai ya kupinga kuendelea kushikiliwa pamoja na kuhofia maisha yake. Dkt. Besigye ambaye alikuwa daktari binafsi wa Rais Yoweri Museveni alikamatwa tangu Novemba mwaka jana, na...
  2. Besigye, mwanaume anayeteswa na Museveni kwa sababu ya ugomvi wa mwanamke

    Biblia inapotukumbusha tuishi na wanawake kwa akili, siyo bahati mbaya, humaanisha. Wanawake ni viumbe hatari mno hapa Duniani! Chanzo cha ugomvi wa wawili hao ni mke wa Kiza dada Winnie ambaye awali alikuwa mpenzi wa Museveni wa ujanani. Museveni, kwa hiari yake mwenyewe, aliamua kuachana na...
  3. Wakili wa Besigye ahukumiwa kifungo cha miezi 9 jela kwa kudharau mahakama

    Mahakama ya kijeshi ya Uganda imemhukumu wakili maarufu, Eron Kiiza, kifungo cha miezi tisa jela kwa kosa la kudharau mahakama. Kiiza ni wakili wa mwanasiasa wa upinzani Kizza Besigye. Kesi hiyo ilichukua sura mpya baada ya vurugu kutokea mahakamani kufuatia kukamatwa kwa mmoja wa mawakili wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…