Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Kati anayestaafu Dr Tavsangwa amempongeza na kumshukuru Rais Samia kwa kuyaruhusu Maandamano ya Chadema yaliyofanyika jijini DSM.
Askofu amesema yawezekana Sauti za kukataa Maandamano zilkuwa nyingi kutoka Bungeni, Mahakama, Vyama vya Siasa, Wananchi nk...