Mimi sio shabiki wa Yanga ila nashabikia timu mbili tu.
Hapa duniani ambazo Liverpool na barcelona ila nikiangalia hapa Africa hamna timu ya kuifunga Yanga SC msimu huu Yanga inaenda kuchukua Ubingwa wa Africa kama Kuna timu Ina uwezo wa kuifunga Yanga msimu huu naombeni muitaje.
Hapa chini...
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga amesema Kupitia mashindano ya CAF, hatua hizi za awali, kuna ujumbe wata upeleka kwa wale ambao wanapewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa AFRIKA.
Watatuma ujumbe ndani ya Uwanja na nje ya Uwanja. Nje ya Uwanja tulituma ujumbe msimu uliopita kwa kujaza...
Timu zitakoshiriki klabu bingwa msimu mpya tayari zimeshathibitishwa, ambapo kutakuwa na jumla ya timu 59.
Katika timu hizo 59, ni timu 5 pekee ndio zitakazoanzia hatua ya pili ambapo ni Al Ahly, Es Tunis, Mamelod, Petro Luanda na Tp Mazembe.
Timu zingine zote zitaanzia preliminary stage...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.