klabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Ikipendeza klabu ya Yanga impe mkono wa kwaheri kipa Mshery

    Ninaishauri Klabu ya Yanga impe mkono wa kwaheri kipa Mshery. Kwenye mechi ya jana kipa huyu alifanya mambo ya hovyo kweli kweli. Mpira wa mbali unamponyoka kama vile siyo kipa wa kiwango. Mipira mingi ilikuwa inateleza mikononi mwake kama vile mikono yake umejaa matope. Huyu kipa hana...
  2. Tetesi: Inadaiwa Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 30 na mzabuni wa utengenezaji Jezi

    Klabu ya Simba SC imesaini mkataba wa zaidi ya Shilingi Bilioni 30 na kampuni ambayo imeshinda tenda ya uzabuni wa kutengeneza jezi na kusambaza vifaa vyenye nembo ya Simba Sports Club. Inatajwa ni mkataba wa miaka mitano na ni kampuni ya Kitanzania. Pia, Soma Kampuni ya Umbro yaomba tenda...
  3. Ifikie hatua Yanga iheshimiwe kama ndio klabu bora ya soka afrika mashariki na kati

    Ukiiona yanga inacheza hata kama wewe sio mpenzi wa yanga na pengine labda bado unasumbulia na ule ushabiki maandazi lakini hata kimoyomoyo utakubali kua yanga ndio timu inayocheza kandanda la kuvutia..pira la kitabuni...pira la kideoni...yani zike pattern za soka unaziona na hata zile B tatu ya...
  4. Klabu mbili za udugu ni pesa udugu wa damu uwanjani tutashudia mechi mbovu kupata kutokea!

    Kichwa cha habari kinajieleza hizi timu mbili ni mke binamu timu moja ipo kuipiga jeki nyingine ili ichukue ubingwa na kupunguza nguvu za timu nyingine timu hiyo ya singida ni godown la yanga kuhifadhia wachezaji na makocha ili wanunuliwe wakiwa tayari mwigulu nchemba ameshawalipia vibali vya...
  5. S

    SOWAH: Kucheza Yanga ni jambo la muda tu!

    Mshambuliaji wa @singidablackstarssc akiri wazi kutamani kucheza @yangasc kutokana na mapenzi aliyokuwa nayo na Rais wa @yangasc @caamil_88 "Yanga ni nyumbani kwangu Rais wa Yanga ni kama Baba kwa yote aliyonifanyia naamini siku moja nitacheza Yanga kwa mafanikio zaidi. Yanga ni nyumbani, hata...
  6. Klabu ya Singida wamepokea kwa mshtuko na masikitiko kocha wao kutambulishwa Yanga

    Uongozi wa Klabu ya Singida Black Stars umeeleza kustushwa na taarifa za Kocha wao Mkuu Hamdi Miloud Raia wa Algeria na Ufaransa kutambulishwa kama Kocha mpya wa Yanga bila kufuata utaratibu. Singida Black Stars walimtangaza Hamdi Miloud kuwa Kocha wao mpya mwezi mmoja uliopita kwa Mkataba wa...
  7. Klabu za Premier League zilivyofanya Usajili Msimu wa 2024/25

    Revealed: Premier League transfer spend table - with surprise club beating Man United, City and Chelsea to top with £231.4m splashed out... and which giants are BOTTOM with just £34.7m spent? Premier League clubs spent in excess of £2billion across the two transfer windows of the 2024-25...
  8. Upelelezi wapiga kalenda kesi vigogo wa CCM wanaodaiwa kumuua Katibu wa chama hicho Wilaya ya Kilolo

    Kesi ya mauaji inayowakabili viongozi watano wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kilolo, imeahirishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Iringa kwa kuwa upelelezi wake haujakamilika. Mwendesha Mashtaka, Wakili wa Serikali Sauli Makori, leo Jumanne, Januari 21, 2025, ameieleza Mahakama kuwa bado...
  9. “Klabu ya Uzalendo: Daraja la Kuimarisha Maadili, Mshikamano, na Uongozi wa Kesho”

    Ndugu wanajamii, Katika mazingira ya sasa, uzalendo na maadili ya Taifa yamekuwa masuala muhimu sana yanayohitaji kufanyiwa kazi kwa bidii, hasa miongoni mwa vijana. Kama taifa, tunahitaji kizazi kinachothamini maadili, mshikamano, na uwajibikaji kwa maendeleo ya jamii. Kutokana na hali hii...
  10. Yanga haijawahi kuwa klabu ya maana kimataifa

    Tukiachana na kombe la shirikisho ambalo ndio Yanga wamewahi kupata mafanikio makubwa ya kufungwa fainali klabu hii ya Yanga haijawahi kuwa na mafanikio wala ubora wowote ule kimataifa Yanga ndani ya miaka hii mitano imecheza klabu bingwa mara mbili na katika misimu yote Yanga imeshindwa...
  11. Vipigo vikubwa vya Mbwa Mwizi katika hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika tangu 1998-2025

    Katika historia ya Hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika, kumekuwa na matokeo ya kushangaza yaliyoweka rekodi za ushindi wa mabao mengi. Hapa ni baadhi ya ushindi wa tofauti kubwa zaidi katika historia ya mashindano haya: Mwaka 2019: • TP Mazembe 8-0 Club Africain Mwaka 2023: •...
  12. Yanga nayo ina Historia yake Klabu Bingwa, msiidharau

    Katika Historia ya mashindano ya Klabu Bingwa Afrika, Yanga Ina Historia yake mwanana ambayo Simba haijawahi kuifikia. Kwenye matokeo ya kufunga na kufungwa magoli mengi kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Yanga nayo imo. Kwa mujibu wa taarifa za CAF, mwaka 1998 Yanga ilifungwa magoli 6-0...
  13. K

    Tatizo la Umri laendelea kuitesa Yanga: Yang'olewa Klabu Bingwa Afrika -CAF

    Hatimaye Safari ya Yanga katika Mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika CAF imefikia tamati Baada ya Kuruhusu matokeo ya suluhu katika uwanja wa nyumbani. Pamoja na jitihada kubwa walizofanya wachezaji na hali ya Upambanaji waliyoionyesha lakini ilionekana wazi baadhi ya Wachezaji miili...
  14. Klabu ya simba inachofanya ni utapeli serikali iingilie kati wajinga wanaibiwa

    Viongozi wa hii taasisi wameanzisha kampeni ya utapeli ambayo sisi kama raia wema tunaomba serikali yetu tukufu iingilie kati sababu raia masikini wanakamuliwa bila kujitambua yaani wanampa tajiri pesa unaambiwa wanachangisha milion 100 ila je inayozidi inaenda wapi kama sio Kwa matapeli ambao...
  15. Tathmini ya usajili mpaka sasa simba wamepata hasara kubwa kuliko klabu zote.

    I salute you kinsmen. Usajiri ule wa dirisha kubwa na hili dogo team mbalimbali zimesajili ikiwemo simba na yanga . Usajili ni patapotea ila kwa kiasi kikubwa usajili ni akili ya viongozi na utashi wao wasiingie chaka. Simba ndiyo team inayoongoza kupata hasara kwa wachezaji iliowaleta msimu...
  16. Sipendezwi na wanachama wa Simba wanaotoa taarifa za klabu kabla ya klabu yenyewe

    Hili nitalielezea kwa ufupi sana ila naomba ujumbe uwafikie wahusika na wawajibike. Kuna haka kamtindo na katabia ka baadhi ya wanachama wa Simba, nimewahesabu wawili mpaka sasa ambao wana mtindo wa kujitokeza na kutoa taarifa za klabu ya Simba kabla ya taarifa rasmi kutolewa na klabu yenyewe...
  17. A

    Klabu za Jinsia Maskulini Zinavyomuandaa Mtoto wa Kike Kuwa Kiongozi

    Na Ahmed Abdulla, Zanzibar: Katika muktadha wa dunia ya sasa, usawa wa kijinsia umekuwa ni suala la muhimu sana, hasa linapokuja suala la nafasi za uongozi kwa wanawake. Miongoni mwa mbinu zinazotumika kukuza uwezo wa uongozi kwa watoto wa kike ni kupitia klabu za jinsia mashuleni. Klabu hizi...
  18. Djuma Shabani amepewa mkono wa kwaheri na klabu yake ya Namungo Fc

    Djuma Shabani soka la bongo limeshamkataa! Maana tangu atoke Yanga SC amekuwa wa kuhangaika tu. Ameenda huko Namungo kacheza mechi chache sana tena si kwa hule uzoefu wake so naona time yake imekwisha akatafute ugali sehemu nyingine tena nje ya Tanzania. ===================== Beki wa zamani wa...
  19. Hivi Kuna klabu kubwa na Bora duniani zaidi ya real Madrid

    Naomba kujibiwa hili swali wakuu hivi Kuna klabu kubwa na Bora duniani zaidi ya hii timu ya real Madrid hapa tunaongea ki mpira na si kishabiki
  20. Klabu ya Simba yalaani vurugu zilozofanywa na Klabu ya CS Sfaxien jijini Dar

    Klabu ya Simba inapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa; Tarehe 15 Desemba 2024, katika mchezo wake wa hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Sfaxien ya Tunisia katika uwanja wa Benjamin Mkapa, zilizuka ghasia zilizoanzishwa na timu pinzani licha ya kupokelewa na kupewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…