kliniki ya walimu na samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Kliniki Ya Walimu Na Samia kushughulikia kero za walimu Arusha

    Walimu na Wastaafu Wenye Kero Mbalimbali wamejitokeza Kliniki Ya Walimu Na Samia Mkoani Arusha Kusikilizwa Na Kikosi KAZI Kutatua Kero zao Kliniki hiyo inaratibiwa na chama cha walimu Tanzania (CWT) kwa kushirikiana na ofisi ya Rais utumishi, Tamisemi na tume ya utumishi wa walimu nchini
Back
Top Bottom