NBC Premier League leo Ijumaa
Saa 10:00 jioni, Simba SC watakuwa dimba la KMC Complex wakiwakaribisha Dodoma Jiji.
Hii ni mechi ya kiporo je ni Mnyama Simba ama Walima Zabibu nani kukitafuna kiporo hiki?
Vikosi vya timu zote
Mechi imeanza (KickOff)
09' Milango bado haijafunguka pande...
Mabingwa watetezi wa kombe la CRDB FEDERATION CUP, YOUNG AFRICANS SC watakuwa dimbani leo majira ya saa 10kamili jioni,wakimenyana vikali na Coastal Union ya Tanga.
Timu ipi kusonga hatua inayofuata katika mashindano haya?
Ambatana nami mwanzo hadi mwisho kukuletea updates/yanayojiri moja...
Mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu ya NBC wanashuka dimbani kuwaalika Singida Black Stars.
Ni mchezo wa kukata na shoka, huku kuna Dube kule kuna Sowah. Huku kuna Keyekeh kule Aucho. Nani kuibuka mshindi?
Mechi itakuwa live saa 10:15 jioni na updates zote utazipata hapaa
Vikosi vinavyoanza...
Leo jioni KMC Complex wamekamatwa vijana wanaodhaniwa kuwa ni Yanga wakiwa na vifaa vya kufanyia ushirikina. Hii inaelezwa kuwa maandalizi ya kuelekea mechi ya kesho dhidi ya KMC.
Zana hizo ni pamoja na sanda ya mtoto, wanja, vijiti, spray, vijiti nk
Simba SC VS Tanzania Prisons
| NBC Premier League
| KMC Complex
| 11 Februari, 2025
Saa 10:00 Jioni
VIKOSI VYA TIMU ZOTE
Mechi imeanza
1' Simba SC 0-0 Tanzania Prisons
2' Simba wanapata Kona na inapigwa na Mpanzu
3' Simba wanapiga Kona ya pili
4' Sabiyanka anaoneshwa kadi ya Njano
7' Simba...
Ligi NBC kuendelea leo majira ya saa kumi na robo alasiri katika uwanja wa KMC Complex ambapo Yanga watakuwa wenyeji wa Ken Gold.
Yanga wanaingia katika mchezo huu wakiwa katika nafasi ya pili wakiwa na wamecheza michezo 16 wakishinda michezo 14 na kupoteza 2 huku wakifunga magoli 36 na...
africans
complex
duka
gold
itazame
ken gold
kengold
kikosi
kikosi cha yanga
kmckmccomplex
kumbuka
live
maarufu
magoli
mechi
muuza duka
nbc
official
yanga
young
young africans
Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mhe. Songoro Mnyonge amezungumza na kituo cha Redio, E Fm kufuatia taarifa za Simba kutaka kuhama katika Uwanja wa KMC Complex.
Soma, Pia: Klabu ya Simba SC ipo mbioni kuhamishia mechi zake uwanja wa AZAM complex- Chamazi mara baada ya Yanga kuhamia KMC complex
Simba Sports wanashuka dimbani kwenye soku ya mkesha wa krisimasi kumenyana na maafande wa JKT katika dimba la KMC
Je, Dozi ya goli 5 alizotoa Simba kwa Kagera ataendeleza kwa maafande?
Mechi ni Saa 10:15 jioni kupitia Azam Sports 1HD
Usikose uhondo huo
Mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania ambao awali ulihairishwa baada ya mpinzani wetu kupata ajali sasa umepangwa kuchezwa Disemba 24, 2024 saa 10:00 jioni katika Uwanja wa KMC Complex. Mchezo huu awali haukuchezwa kutokana na JKT Tanzania kupata ajali ya gari na baadhi ya wachezaji wao...
Mwenyekiti wa Bodi KMC na Meya wa Kinondoni, Songoro Khamis Mnyonge, amesema uwanja wao wa KMC Complex, umekamilika kwa asilimia 95 na matamanio yao kwa sasa ni kuufunga Camera, Taa pamoja na AC kabla ya Januari, 2025.
Hivi karibuni timu ya Yanga ilitangaza kuhamia uwanja wa KMC complex kutokea...
Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe, ameongoza shughuli ya kusafisha Uwanja wa KMC Complex, hatua inayokuja mara baada ya klabu hiyo kutangaza rasmi kwamba itautumia uwanja huo kama uwanja wake wa nyumbani kwa mechi zote zilizobaki za Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/25.
Soma, Pia: Gamondi hana...
Ili kuonesha kuwa siku ya kufa nyani miti yote huteleza.
Kuna tetesi kuwa klabu ya Simba sc imeamua kuhamishia mechi zao za nyumbani katika uwanja wa Azam complex ili kupishana na mahasimu wao wa jadi klabu ya Yanga
Ambayo imeamua kuuhama uwanja huo bila ya kutoa sababu maalumu mara baada ya...
Hiyo ni baada ya vipigo viwili mfululizo.
Hapa sasa ndio kuna kitu ambacho uongozi wa Yanga unatuacha njia panda sisi wadau wa soka.
Kama management iliona tatizo la wao kupoteza mechi mbili lilisababishwa na uwanja, kwanini wamuwekee vikao Gamondi usiku wa manane?
Tushike lipi sasa?
Tatizo...
Lilikuwa suala la muda tu baada ya Bundi mzee kuwika katika uwanja wa Chamazi, klabu namba moja kwa masuala ya ushirikina Tanzania.
Daima mbele nyuma mwiko kuanza harakati za kuukimbia uwanja wao wa nyumbani ,Chamazi na kutaka kuja kuutumia uwanja wa KMC unaotumiwa na mahasimu wao wanaoongoza...
Mnyama Simba SC baada ya kupata ushindi mechi iliyopita ugenini mkoani Kigoma, anarudi nyumbani ambapo kesho Jumatano atakuwa KMC Complex akiwakaribisha KMC FC
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:00 jioni na kuruka mbashara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.