kobe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. briophyta plantae

    Somo la kutafakari kwa kina. Kobe au kondoo?

    Kondoo alikuwa anapita akamuona simba akilia akiwa amenasa kwenye boksi la chuma(grili), simba akamsihi sana kondoo amuokoe na kumuahidi kuwa hatamuua wala kumla, lakini kondoo akakataa.... Baada ya simba kubembeleza sana na kwa upumbavu wa kondoo, akafungua lile boksi la chuma. Sasa simba...
  2. ndege JOHN

    Natamani kufuga kobe na tausi nitawapata wapi naombeni mwongozo.

    Nataka niweke hao wanyama nyumbani kwangu kuna mtu akaniambia tausi wapo ikulu na labda wanaopewa ni viongozi wakiomba.Nani anajua wapi nitawapata tausi kuhusu kobe nashangaa wameadimika sana mashambani ila nina imani nikitoa offer atafutwe lazima atapatikana.tausi nampataje na bei zake zipoje...
  3. ndege JOHN

    Natamani kufuga kobe na tausi nitawapata wapi naombeni mwongozo.

    Nataka niweke hao wanyama nyumbani kwangu kuna mtu akaniambia tausi wapo ikulu na labda wanaopewa ni viongozi wakiomba.Nani anajua wapi nitawapa tausi kuhusu kobe nashangaa wameadimika sana mashambani ila nina imani nikitoa offer atafutwe lazima atapatikana.tausi nampataje na bei zake zipoje wakuu.
  4. MZALENDO TZ

    Kobe Motor yatoa zawadi kwa wateja wake

    Na Mwandishi Wetu Kampuni ya kuuza magari yaliyotumika kutoka Japan ya Kobe Motor,imetoa zawadi mbali mbali kwa wateja wake ikiwa ni sehemu ya kuimarisha uhusiano na wateja pamoja na kusherehekea mafanikio yake. Ikiwa ni moja kati ya makampuni makubwa ya Kijapan yanayoongoza kwa kuuza magari...
  5. ndege JOHN

    Kutana na kobe Jonathan mnyama mwenye umri mkubwa kuliko wote duniani alitotolewa mwaka 1832

    Ni dume na mate wake anaitwa federik huyu mate wake sio mkubwa sana kwani kazaliwa 1991..Jonathan anaishi huko saint Helena kisiwani ana kilogram 150..alitotolewa kwenye visiwa vya shelisheli Bahari ya hindi.. Walitotolewa yeye na wenzake watatu yeye akahamishiwa huku saint Helena kwenye shamba...
  6. M

    Mirathi ya Kobe Bryant yazua gumzo USA, utajiri wote wagawanywa kwa mke na watoto huku wazazi wakiishi kimaskini

    Wamarekani wanamlaumu Kobe Kobe ana makosa ya kutowapa wazazi wake maisha hakuandika wosia kabla hajafa hivyo ni kama alichagua kutojumuisha wazazi wake katika wosia wake hivyo mali zote zimeenda kwa mke wake. Ukweli wamarekani wana utamaduni wa ajabu sana, how can a person be worth Trillions...
  7. Stephano Mgendanyi

    Polepole ya Kobe ujenzi wa Miundombinu ya Kutolea Huduma za Afya Yamkwaza Naibu Waziri Dkt. Dugange

    Polepole ya Kobe ujenzi wa Miundombinu ya Kutolea Huduma za Afya Yamkwaza Naibu Waziri Dkt. Dugange Naibu Waziri (Afya) Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI Dkt. Festo Dugange, amewaagiza Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri kusimamia miradi ya ujenzi wa vituo vya...
  8. kali linux

    Basketbal fans: Hivi kwa nini ni ngumu kwa mashabiki wa Kobe Bryant kumkubali Lebron James

    Hello bosses amd roses.. Hii kitu naiona sana hata kwenye media. Ukiachilia mbali hali ya urafiki/kuelewana iliokuwepo kati ya Lebron James na Marehemu Kobe Bryant (RIP) bado fans wengi wa Kobe wanapata ugumu sana kumkubali Lebron James, fans wengi wa Kobe wanaomkubali pia Lebron utakuta ni die...
  9. Lanlady

    Naomba mwenye kuweza kusaidia, asaidie hii jamii, kobe ni wasumbufu sana

    Nimesoma mahali kuna mchina kakamatwa kwa kukutwa na kobe watano anaowatumia kama kitoweo. Wilayani butiama mkoa wa mara kuna mtu alishtakiwa kwa kukutwa na kobe. Ukweli ni kwamba wilayani humo viumbe hao wako wengi sana na wanaharibu mazao hasa majani ya maharage na kunde. Kama kuna mwekezaji...
  10. BARD AI

    Mshtakiwa adai anatibu UKIMWI kwa kutumia Kobe, Ngozi ya Nyati

    Mkazi wa Kijiji cha Nyarukoru, mkoani Mara, Matimba Washa (28), ameshitakiwa katika Mahakama ya Wilaya ya Butiama kwa makosa matatu likiwamo la kukutwa na kobe 998, magamba 10 ya kobe, ngozi ya Nyati na mkia wa Nyumbu, vyote vikiwa na thaman ya Sh168 milioni. Mshtakiwa huyo akidai ameoteshwa na...
  11. Notorious thug

    Namfananisha January Makamba na Harry Maguire!

    Pale Manchester United kuna mchezaji ambaye amekua akishutumiwa na kupewa lawama nyingi kutokana na ufanisi wake uwanjani Harry Maguire hivyo hivyo kwa Waziri January Makamba ambaye wizara yake iimepoa mithili ya mchuzi wa juzi usiokua na nyama.
  12. N

    Naomba kufahamishwa kuhusu biashara ya kobe

    Nina Kobe lakini sifaham biashara yake ntaipata wapi. Inawezkana. Poor connection niliokua nayo. Kam kuna connection za kuuza kobe tujuzaje au biashara hizi ni za nadharua
  13. Miss Zomboko

    Simiyu: Akamatwa na Kobe zaidi ya 400 wakiwa kwenye mabegi 3

    Polisi mkoani Simiyu linamshikilia mtu mmoja kwa kosa la kupatikana na nyara za serikali. Kamanda Polisi mkoani Simiyu, ACP Richard Abwao, amesema mtuhumiwa amekutwa akiwa na mabegi matatu yakiwa na kobe 438 wenye thamani ya shilingi milioni 71.1, bila yakuwa na kibali.
  14. fungi06

    Vitu vya kufurahisha kuusu kobe wa majini (kasa)

    Hivi ndivyo mdomo wake ulivyo kwa ndani Picha na buzzfeed Watu wengi wamekua wakijiuliza sana kuusu mdomo wake unavyotisha Ukiingia kwenye account ya ig kwa brykim official kwa kutumia biology na illustrator ameelezea vyema kuusiana na mdomo wa kasa Izo miba za mdomo kwa kasa humsaidi...
  15. Mlenge

    Kobe

    Hata ingekuwa wewe, kwa yule mwenye nyumba ungelianzisha valangati la nguvu. Sijui hata nianzae wapi kukuambia siku uzalendo uliponishinda, lakini niliamua "kumnywea" mpaka "nilipopendeza" kisawasawa kumpa makavu laivu. Siku hiyo nilichelewa kama siku nyingine, na kuingia nyumbani mida karibu...
  16. barafu

    Uchaguzi 2020 Hatimaye CCM na mgombea wao waanza kutumia chopa kama usafiri wa kampeni

    Hatimaye Chama Cha Mapinduzi kimeamua kuanza kutumia chopa kama sehemu ya usafiri wa kampeni zake. Chopa hiyo itaanza kutumika kwenye nusu ya pili ya harakati za kampeni kuelekea October 28,chopa hiyo yenye usajili wa 5Y-HSN imekodiwa toka nchini Kenya kwa mmoja wa wanasiasa na mfanyabiashara...
  17. beth

    Kobe Bryant na mwanaye Gianna wazikwa

    Kama wewe ni miongoni mwa watu waliotamani kushuhudia mazishi ya mchezaji wa Basketball Marehemu Kobe Bryant na mwanaye Gigi taarifa ikufikie kuwa tayari wawili hao wameshazikwa kwa Siri siku ya Februari 7. Taarifa iliyoripotiwa inaeleza kuwa Kobe na mwanaye Gigi wamezikwa na walioshiriki...
  18. Burnaboy

    Je, Kobe Bryant alikuwa sahihi kumkiss mdomoni mwanae wa kike?

    Mjadala mkali umezuka mitandaoni kuhusu tabia ya Kobe Bryant kum-kiss mdomoni hadharani mwanae wa kike, Gianna. Je, Kobe alikuwa sahihi kumfanyia hivi mwanae? Wawili hawa wamefariki dunia kwenye ajali 26/01/2020.
  19. Burnaboy

    Tunafahamu nini kuhusu Sikorsky S-76B: Helikopta iliyomuua Kobe Bryant

    Kobe Bryant amekuwa akitumia helikopta ya aina ya Sikorsky S-76B tangu alipokuwa akichezea Los Angeles Lakers. Ndio iliyomuua. Mamlaka ya kufuatilia shughuli za anga inasema helikopta hiyo ilitumika mara kadhaa wiki chache zilizopita. Helikopta imetengenezwa na kampuni ya Sikorsky, ambayo ni...
  20. Binti1

    Kobe Bryant dies in a plane crash

    Mcheza Kikapu mstaafu nchini Marekani, Kobe Bryant 'Mamba' amefariki katika ajali ya Helikopta iliyotokea leo huko California. Kobe mwenye miaka 41 akiwa na binti yake Gianna walikuwa miongoni mwa watu watano walikuwa wanasafri katika helikopta hiyo inayomilikiwa na Kobe ambayo imeanguka baada...
Back
Top Bottom