Hata ingekuwa wewe, kwa yule mwenye nyumba ungelianzisha valangati la nguvu. Sijui hata nianzae wapi kukuambia siku uzalendo uliponishinda, lakini niliamua "kumnywea" mpaka "nilipopendeza" kisawasawa kumpa makavu laivu.
Siku hiyo nilichelewa kama siku nyingine, na kuingia nyumbani mida karibu...