Kocha wa makipa wa klabu ya Gita Gold, Augustino Malindi amefungiwa michezo 16 (kumi na sita) na kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la kumshika sehemu za siri wamuzi wa akiba wa mchezo tajwa hapo juu.
Baada ya kuonywa kwa kadi nyekundu kwa kosa la kumtukana mwamuzi msaidizi...