Wazee Ubaya Ubwela jiandaeni Kisaikolojia
AS FAR ya Morocco, inamtaka kocha wenu kipenzi baada ya kumfukuza Hubert Velud leo, tarehe 5 Februari 2025, kufuatia matokeo ya hivi karibuni.
Katika kipindi hiki cha mpito, kocha msaidizi Jamil atachukua majukumu ya kuiongoza timu hadi pale klabu...
Kocha Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids, amewataka mashabiki na vyombo vya habari kuacha kumwekea presha mchezaji wake Jean Charles Ahoua, akisisitiza kuwa kijana huyo bado ana safari ndefu ya kujifunza.
"Niliwahi kuwaambia kuwa Jean Charles Ahoua ni Mchezaji mdogo sana kiumri, alivyokuwa anafunga...
Sikuwaelewa Simba kwa Fadlu David. Record mbovu mno aakiwa kocha mkuu. Anakuja kupewa timu kwa record za akiwa asistance kocha.
Kila timu ikienda mapumziko inarudi ikiwa mbovu kuliko awali. Timu ilishinda kwa uwezo binafsi tu wa wachezaji sio mfumo.
Mechi ya mbili za awali Simba inabebwa...
Timu haitashinda mechi yoyote ya ugenini au Ngumu na Huyu huyu Fadlu.
Ana cv mbovu sana akiwa kocha. Mbovu mno. Nimeandika uzi ya kumi hii tena kabla ata hajaja. Wajinga wanamfananisha na Compan na Arteta kwa Kushusha timu daraja na kutoka kuwa asistant.
Mfatilieni Fadlu David kawa kocha...
Washabiki tuko Siliasi sana kutokana na Simba ilivyojipaga kwenye Media msimu huu.
Kwa cv ya Fadlu David ilivyo. Ni kocha flan ivi kama Julio. Maneno mengii matokeo 0.
Kama uongozi haujaongea lolote na APR basi leo tunaenda kutia aibu alafu kocha atakuja na maneno mingi mingi tu.
Fadlu David siii kocha kabisa.
Fadlu Amekuwa assist coach kwa miaka saba tofauti pale Mutirzburg United South Africa.
Kwa kipindi tofauti iliaminika yeye ndio chanzo cha mafanikio pale. Ila kila wakitimua kocha Akiachiwa timu timu inapoteana na kunyanganywa upya baada ya miezi 2 tu mara 5...