kocha gamondi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Paul dybala

    Wachezaji Wafuatao wangetupisha Yanga SC

    Baleke Musonda Aucho Pacome Dube Yote kwa yote viongozi wa Yanga wamekurupuka kutuletea kocha asiye na profile kubwa Ts Galaxy ...michezo 30 kashinda mechi 12 kapoteza 10 kadraw 8 Hapa wananchi tumepigwa makosa yamefanyika ..ilifaa kukaa chini na Gamond amalizie mda wake. Soma Pia: Rasmi...
  2. GENTAMYCINE

    Kocha Gamondi wala hana shida ila mlimpa Jeuri na kuaminisha Watu kuwa ni Bonge la Kocha ila baada ya kushtukiwa Mchezo wenu wa dawa mmemtema

    Ukweli ni kwamba Kocha Gamondi wala hakuwa na Uwezo huo ambao tokea mmempa Kazi Yanga SC mlikuwa mkimpa hadi kumuita Profesa ila mlimkuza Kiuongo na Kweli aonekane anafanya vyema ila huku nyuma mlikuwa mkitumia Dawa za Kuongeza Nguvu kupitia Sindano na baada ya Kushtukiwa kwa Watu wa Azam Media...
  3. Torra Siabba

    Tetesi: Ndoa ya Gamond na Yanga yavunjika Rasmi, Aonekana Mwanza akila Bata

    Wakati kukiwa na taarifa kuhusu Yanga kumtema Kocha wake Miguel Gamond, imethibitika kwamba ndoa ya Yanga na Kocha huyo Imevunjika Rasmi. Ni hivi Jamaa ameonekana Mwanza leo na anachongojea kwa sasa ni Fedha zake za kuvunja mkataba kutoka Yanga ili maisha yaendelee Hili ndio chanzo cha Anguko...
  4. Mkalukungone mwamba

    Haji Manara: Mimi na kocha Gamondi hatusalimiani, aliwahi kunipa tuhuma nzito kutaka yeye afukuzwe Yanga

    Wakuu msikie Manara huko! Anasema katika kipindi cha kuelekea katika kilele cha wiki ya mwananchi mwezi Agosti mwaka huu 2024 wakati ameenda kambi ya Timu ya Yanga kuongea na wachezaji na bechi la ufundi ili kuwapa plan ya siku hiyo ya wiki ya mwananchi, lakini siku yake ikaharibiwa na kocha...
  5. Chapati Tatu

    Miguel Angel Gamondi aondoke au abaki Yanga? Kwa nini?

    Kumekuwepo na mijadala yenye mawazo mchanganyiko kuhusu mwenendo wa kocha mkuu wa Yanga. Tuchanganue hapa yafuatayo: 1. Nini kinachowapa mashaka mashabiki wa Yanga kuhusu mwenendo wa benchi lao la ufundi? 2. Kwanini aondoke wakati huu na asipewe muda wa marekebisho? 3. Kwanini asiondoke? ...
  6. ESCORT 1

    Tetesi: Uongozi wa Yanga kumfuta kazi Kocha Gamondi muda wowote kuanzia sasa

    Hii ni baada ya kuitwa kwenye kikao na Master Gamondi kugoma kutokea. Uongozi umechoshwa na jeuri ya kocha huyo na sasa muda wowote ndani ya masaa 24 yajayo Gamondi atafutwa kazi
  7. Torra Siabba

    Kocha Gamond kumchapa ngumi mtu wa Singida Black Stars ni Ushamba

    Mechi ya Singida Blacks Stars kwa sasa ni Mapumziko kwa matokeo.ya 0-0 lakini kitendo cha Kocha wa Yanga Miguel Gamond kuonekana akimchapa Konde mmoja wa watu wa benchi la ufundi wa Singida Black Stars Ni ushamba kwa mtu mzoefu na Football Kama Yeye. PIA SOMA - LIVE - Singida BS 0-0 Young...
  8. vibertz

    Takwimu za kocha Gamondi akiwa Yanga hadi sasa

    Hizi ni takwimu katika mashindano rasmi tokea akabidhiwe timu ya Yanga msimu wa 2023/2024 ndani ya dakika 90 (Ngao ya jamii, klabu bingwa, ligi kuu na kombe la FA) Michezo ya ngao ya jamii ni 4: kushinda 3 sare 1 kufungwa 0 Michezo ya klabu bingwa ni 16: kushinda 10 sare 4 kufungwa. 2...
  9. GENTAMYCINE

    Mwambieni Jean Othos Baleke aje haraka sana atuombe Msamaha Simba SC, akikaidi Kocha Gamondi ataendelea Kumkandia aione Tanzania Chungu

    "Nitakuwa ni Kocha wa ajabu niache Kuwapanga akina Dube na Mzize ambao wananionyesha bidii kubwa kuanzia Mazoezini na hata katika kila Mechi ambazo huwa nawapanga halafu nimpange Baleke ambaye hata nikimpa tu nafasi kwa dakika chache hakuna anachonipa" amesema Kocha Mkuu wa Yanga SC Miguel...
  10. M

    Gamond boys leo wamewaka, wametupia magoli kwenye mataifa yao

    Vijana wamepikwa wakapikika sasa wamekuwa msaada mkubwa kwenye mataifa yao. Kule Kenya Duke abuya katupia goli maridadi kabisa, hapa Tanzania Mudathir yahya katupia pia, bila kusahau kule Zambia Kennedy musonda nae katupia! Hiyo ndio maana halisi ya wachezaji wakubwa na mambo yao ni makubwa...
Back
Top Bottom