Klabu ya Simba imeachana na Kocha Juma Ramadhani Mgunda ambaye alikuwa akiinoa Timu ya Wanawake ya Simba Queens huku mara kadhaa akipewa jukumu la kufundisha timu ya wakubwa ya klabu hiyo.
Soma Pia: Juma Mgunda ameridhika kuwasaidia kufundisha Simba SC na kusahau kuwa ana 'profile' kubwa katika...
Kwa makocha wa Africa kwa vilabu namkubali sana huyu mfaransa Julien Chevalier. Amekua Asec kwa mafanikio makubwa kwa misimu mitano mfululizo licha ya msimu uliopita kumaliza wa 5.
amekuwa bingwa mara 4 mfululizo licha ya kuwa timu yake huuza mastaa wake wote kila mwisho wa msimu.
Mbaya na...
Wana Simba SC Wenzangu vipi tena mbona baada ya 'Droo' ya Kagera jana ule Wimbo wa Kumsifia Kocha Mgunda siusikii tena? Tafadhali tendelee Kuuimba Ok?
Yaani Viongozi wa Simba SC nawakubali kwani wanajua sana Kucheza na Akili zetu, Kutupoza na Kutuhamisha Fikra zetu.