Club ya Kagera sugar imemtambulisha Juma Kaseja kama kocha mkuu atakuwa akisaidiana na Temmy Felix
Juma Kaseja anachukua nafasi ya Melis Medo alifukuzwa kazi na kutimkia Singida Black Stars
Juma Kaseja ana Jukumu la kuinusuru Kagera Sugar na dhahama ya kushuka daraja
Kila la heri Juma
Kufuatia taarifa zilizosambaa kwenye vyombo vya habari kuwa Singida Black Stars ilimfuta kazi Kocha Patrick Aussems kwa sababu ya mechi dhidi ya Yanga ya tarehe 30/10/2024 visiwani Zanzibar, klabu hiyo imeeleza sababu za kuondoshwa ni kwasababu hakuwa na sifa ya kuwa kocha mkuu wala kocha...
Mabosi wa Yanga walishtushwa na uamuzi wa ghafla wa kocha Sead Ramovic ambaye aliomba kuvunja mkataba wake kisha jana Jumanne, Februari 4, 2025 akawaaga wachezaji na maofisa wengine wa timu akiwatonya kuwa amepata ofa nono huko Algeria.
Baada ya kuzungumza naye walibaini kuwa CR Belouizdad ya...
Manchester United wamemchagua kocha wa Sporting Ruben Amorim kuwa meneja wao mpya.
Mreno huyo mwenye umri wa miaka 39, ambaye atahamia OldTrafford kutoka klabu ya Lisbon mnamo Novemba 11, ametia saini mkataba hadiJuni 2027.
Mshambulizi wa zamani wa United Ruud van Nistelrooy,ambaye alichukua...
Hila hizi timu zetu za bongo zinachekesha sana.
Kocha anakumbukwa kwenye shida lakini rekodi zake ni kubwa Minziro ameaminika kwenye kikosi cha Pamba Jiji FC baada kuachana na bwana Goran Kopunovic. Ila Kocha Minziro onyesha kila ulichonacho wakuheshimu na waacha dharau za kijinga...
Video hii inamuonyesha Kocha mpya wa Simba Queens akimpa maelekezo fulani hivi kocha Mussa Mgosi amabye alikuwa kwenye bechi la ufundi katika mchezo wa Ngao ya Jamii kati yao na Yanga Princess.
Hii inaonyesha namna pumzi ya moto ilikuwa inapelekwa kwenye lango la Simba Queens kutoka kwa mabinti...
Klabu ya Simba ya Tanzania imemtangaza rasmi Kocha wa zamani wa Orlando Pirates, Fadlu Davids (43) ambaye ameachana na nafasi yake ya Kocha Msaidizi wa Klabu ya Raja Casablanca kuja kuinoa miamba hiyo ya Ligi Kuu Tanzania Bara.
Davids, pamoja na kocha wa zamani wa Orlando Pirates Josef...
Ukitaka kuona vituko basi njoo kwenye club ya simba dirisha hili la usajili wanasajili wachezaji na kuacha bila kuwa na kocha mkuu unajiuliza mwekezaji wa simba mo dewji ana akili kweli
Makosa yaleyale ya misimu iliyopita wanayarudia na kipindi hiki akija kocha baada ya mda atawatupia lawama...
Huwezi kumsajilia wachezaji kocha, mtasumbuana sana kwenye matokeo. Unamtumia Mgunda na Matola kwenye usajili kisha timu unamkabidhi mzungu aifundishe!!! Umefeli kabla ya ligi kuchezwa.
Kwa mujibu wa chanzo changu muhimu kilichopo kambini Ivory Coast kimesema kwa furaha iliyoko sasa kambini kwani hata wachezaji nao kuanzia nahodha Samatta walikuwa hawamkubali na hawamtaki kocha mkuu dalali Adel Amrouche.
Wamesema wanaenda kuwafunga Zambia na hata Congo DR ili tu kuwaheshimisha...
Najua Usiku huu au Kesho na haitofika Jumanne Simba SC itaachana rasmi na Kocha wake Mkuu Roberto Oliviera kupitia Tangazo ( Taarifa kwa Umma )
Timu itakuwa chini ya Makocha Wazawa Wawili ( wenye Vyeti na Sifa zinazotakiwa na CAF ) na Kozi muhimu za TFF ameshiriki huku taratibu ikimtafuta Kocha...
Unaenda Pre Season bila ya Kocha Mkuu, Msaidizi, na bado unatumia jezi ya msimu uliopita, hii ni record Simba wameweka.
Inshort wameenda Pre Season bila ya kuwa na bench la ufundi.
Ni wazi kuwa dili la Nabi na Kaizer Chiefs limebuma. Kaizer Chiefs watangaza kocha mkuu mpya
======
Katika ukurasa wao rasmi wa mtandao wa Instagram, Timu ya Kaizer Chiefs wametanaza rasmi uteuzi wa Molefi Ntseki kuwa Kocha Mkuu kuanzia sasa.
Pia soma - Nabi na Kaizer Chiefs ngoma bado ngumu
Klabu ya Simba leo imemtangaza Patrick Rweyemamu kuwa Mkuu wa Programu za Vijana wa Simba wakati Selemani Matola akitangazwa kuwa Kocha Mkuu wa timu za Vijana U-17 na U-20.
Mtendaji Mkuu wa Simba Imani Kajula amesema Simba imedhamiria kuimarisha timu zake za vijana akiamini huo ndio utaratibu...
" Kama kuna Timu naiogopa na Mchezaji Hatari kwa sasa Africa basi ni ya Yanga SC na Fiston Mayele. Hakika wako vizuri sana na Mayele atawafikisha mbali kwa Umahiri wake wa Ufungaji na ana uwezo wa hata Kucheza Timu Kubwa Uingereza na Kwingineko Ulaya" Dylan Keir Kocha Mkuu wa Timu ya Marumo...
“Attack Attack “ Nataka wachezaji washambulie muda wote,Inakuwa ngumu kuingiza mbinu za kushambulia kwa sababu kwenye kikosi changu kuna idadi kubwa ya wazee (Wakongwe) Na mimi napenda kutoa nafasi kwa wachezaji vijana.
Kitenge nina uhakika pamoja na kwenda Kwako Ulaya / Marekani / Asia kila mara tukikuweka Wewe na Kocha wa Simba SC Mbrazil Roberto Olivieira bado atakuzidi na humuwezi hivyo tunakushangaa Kumkejeli Kocha Olivieira hewani kama ufanyavyo sasa.
Hakuna asiyejua kuwa Wabrazil Lugha yao Mama ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.