kocha mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Juma Kaseja kocha mkuu Mpya Kagera Sugar

    Club ya Kagera sugar imemtambulisha Juma Kaseja kama kocha mkuu atakuwa akisaidiana na Temmy Felix Juma Kaseja anachukua nafasi ya Melis Medo alifukuzwa kazi na kutimkia Singida Black Stars Juma Kaseja ana Jukumu la kuinusuru Kagera Sugar na dhahama ya kushuka daraja Kila la heri Juma
  2. Singida BS wamsagia kunguni Uchebe, wadai hakuwa na sifa za kuwa kocha mkuu wala msaidizi

    Kufuatia taarifa zilizosambaa kwenye vyombo vya habari kuwa Singida Black Stars ilimfuta kazi Kocha Patrick Aussems kwa sababu ya mechi dhidi ya Yanga ya tarehe 30/10/2024 visiwani Zanzibar, klabu hiyo imeeleza sababu za kuondoshwa ni kwasababu hakuwa na sifa ya kuwa kocha mkuu wala kocha...
  3. Je, kocha wa Yanga anaweza kuwa kocha mkuu Ligi ya NBC? Ukweli huu hapa

    Mabosi wa Yanga walishtushwa na uamuzi wa ghafla wa kocha Sead Ramovic ambaye aliomba kuvunja mkataba wake kisha jana Jumanne, Februari 4, 2025 akawaaga wachezaji na maofisa wengine wa timu akiwatonya kuwa amepata ofa nono huko Algeria. Baada ya kuzungumza naye walibaini kuwa CR Belouizdad ya...
  4. Ruben Amorim ateuliwa kuwa kocha mpya wa Manchester United

    Manchester United wamemchagua kocha wa Sporting Ruben Amorim kuwa meneja wao mpya. Mreno huyo mwenye umri wa miaka 39, ambaye atahamia OldTrafford kutoka klabu ya Lisbon mnamo Novemba 11, ametia saini mkataba hadiJuni 2027. Mshambulizi wa zamani wa United Ruud van Nistelrooy,ambaye alichukua...
  5. Kocha Fred Felix ‘Minziro’ Kocha Mkuu Pamba Jiji Fc akichukua mikoba ya Goran Kopunovic aliyetupiwa virago

    Hila hizi timu zetu za bongo zinachekesha sana. Kocha anakumbukwa kwenye shida lakini rekodi zake ni kubwa Minziro ameaminika kwenye kikosi cha Pamba Jiji FC baada kuachana na bwana Goran Kopunovic. Ila Kocha Minziro onyesha kila ulichonacho wakuheshimu na waacha dharau za kijinga...
  6. Kocha mkuu wa Simba Queens ameonekana akimpa maelekezo kocha msaidizi Mgosi wakati pumzi ya moto waliyo kuwa wanapelekewa Yanga Princess

    Video hii inamuonyesha Kocha mpya wa Simba Queens akimpa maelekezo fulani hivi kocha Mussa Mgosi amabye alikuwa kwenye bechi la ufundi katika mchezo wa Ngao ya Jamii kati yao na Yanga Princess. Hii inaonyesha namna pumzi ya moto ilikuwa inapelekwa kwenye lango la Simba Queens kutoka kwa mabinti...
  7. Hatimaye Fadlu Davids atangazwa kuwa Kocha wa Simba SC. Hizi hapa takwimu zake

    Klabu ya Simba ya Tanzania imemtangaza rasmi Kocha wa zamani wa Orlando Pirates, Fadlu Davids (43) ambaye ameachana na nafasi yake ya Kocha Msaidizi wa Klabu ya Raja Casablanca kuja kuinoa miamba hiyo ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Davids, pamoja na kocha wa zamani wa Orlando Pirates Josef...
  8. Simba wanasajili wachezaji bila kuwa na kocha mkuu

    Ukitaka kuona vituko basi njoo kwenye club ya simba dirisha hili la usajili wanasajili wachezaji na kuacha bila kuwa na kocha mkuu unajiuliza mwekezaji wa simba mo dewji ana akili kweli Makosa yaleyale ya misimu iliyopita wanayarudia na kipindi hiki akija kocha baada ya mda atawatupia lawama...
  9. Simba wanasajili bila kocha mkuu, kufeli kunaanzia hapo

    Huwezi kumsajilia wachezaji kocha, mtasumbuana sana kwenye matokeo. Unamtumia Mgunda na Matola kwenye usajili kisha timu unamkabidhi mzungu aifundishe!!! Umefeli kabla ya ligi kuchezwa.
  10. C

    Wachezaji wa Taifa Stars baada ya kuambiwa Kocha Mkuu Adel hayuko tena wamefurahi na kuahidi kufanya kweli

    Kwa mujibu wa chanzo changu muhimu kilichopo kambini Ivory Coast kimesema kwa furaha iliyoko sasa kambini kwani hata wachezaji nao kuanzia nahodha Samatta walikuwa hawamkubali na hawamtaki kocha mkuu dalali Adel Amrouche. Wamesema wanaenda kuwafunga Zambia na hata Congo DR ili tu kuwaheshimisha...
  11. Najua kwa sasa mmejifungia Kikaoni Hotelini Posta ili Kumfuta Kazi Kocha Mkuu, ila hata nyie hatuwataki tena SSC

    Najua Usiku huu au Kesho na haitofika Jumanne Simba SC itaachana rasmi na Kocha wake Mkuu Roberto Oliviera kupitia Tangazo ( Taarifa kwa Umma ) Timu itakuwa chini ya Makocha Wazawa Wawili ( wenye Vyeti na Sifa zinazotakiwa na CAF ) na Kozi muhimu za TFF ameshiriki huku taratibu ikimtafuta Kocha...
  12. Simba wameweka rekodi ya kipekee kwenda Pre Season bila ya Kocha Mkuu wala Msaidizi

    Unaenda Pre Season bila ya Kocha Mkuu, Msaidizi, na bado unatumia jezi ya msimu uliopita, hii ni record Simba wameweka. Inshort wameenda Pre Season bila ya kuwa na bench la ufundi.
  13. Kaizer Chiefs washindwana na Nabi. Watangaza kocha mkuu mpya

    Ni wazi kuwa dili la Nabi na Kaizer Chiefs limebuma. Kaizer Chiefs watangaza kocha mkuu mpya ====== Katika ukurasa wao rasmi wa mtandao wa Instagram, Timu ya Kaizer Chiefs wametanaza rasmi uteuzi wa Molefi Ntseki kuwa Kocha Mkuu kuanzia sasa. Pia soma - Nabi na Kaizer Chiefs ngoma bado ngumu
  14. Matola achaguliwa kuwa kocha Mkuu wa timu ya Vijana Simba SC

    Klabu ya Simba leo imemtangaza Patrick Rweyemamu kuwa Mkuu wa Programu za Vijana wa Simba wakati Selemani Matola akitangazwa kuwa Kocha Mkuu wa timu za Vijana U-17 na U-20. Mtendaji Mkuu wa Simba Imani Kajula amesema Simba imedhamiria kuimarisha timu zake za vijana akiamini huo ndio utaratibu...
  15. Kuna Wapuuzi wataiamini hii Kauli ya Kiunafiki ya Kocha Mkuu wa Marumo Gallants FC kuelekea Mechi yao ya CAFCC

    " Kama kuna Timu naiogopa na Mchezaji Hatari kwa sasa Africa basi ni ya Yanga SC na Fiston Mayele. Hakika wako vizuri sana na Mayele atawafikisha mbali kwa Umahiri wake wa Ufungaji na ana uwezo wa hata Kucheza Timu Kubwa Uingereza na Kwingineko Ulaya" Dylan Keir Kocha Mkuu wa Timu ya Marumo...
  16. S

    Kocha Mkuu wa Simba Achoshwa na wachezaji Wazee

    “Attack Attack “ Nataka wachezaji washambulie muda wote,Inakuwa ngumu kuingiza mbinu za kushambulia kwa sababu kwenye kikosi changu kuna idadi kubwa ya wazee (Wakongwe) Na mimi napenda kutoa nafasi kwa wachezaji vijana.
  17. Mtangazaji Maulid Kitenge wa EFM unapata wapi uhalali wa Kukicheka Kiingereza hafifu cha Kocha wa Simba SC wakati Wewe ndiyo hukijui kabisa?

    Kitenge nina uhakika pamoja na kwenda Kwako Ulaya / Marekani / Asia kila mara tukikuweka Wewe na Kocha wa Simba SC Mbrazil Roberto Olivieira bado atakuzidi na humuwezi hivyo tunakushangaa Kumkejeli Kocha Olivieira hewani kama ufanyavyo sasa. Hakuna asiyejua kuwa Wabrazil Lugha yao Mama ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…