Hakika Yanga inaendeleza historia yake ya miaka mingi.Yaani haina utani katika kufanya maamuzi.
Yaani ukiizingua Yanga haikuachi ukiisaliti Yanga lazima ikunyooshe.
HONGERA ENG Hersi.
na wengine wote waliobakia.
YOU ARE EITHER WITH YANGA OR AGAINST YANGA!!
Baleke
Musonda
Aucho
Pacome
Dube
Yote kwa yote viongozi wa Yanga wamekurupuka kutuletea kocha asiye na profile kubwa
Ts Galaxy ...michezo 30 kashinda mechi 12 kapoteza 10 kadraw 8
Hapa wananchi tumepigwa makosa yamefanyika ..ilifaa kukaa chini na Gamond amalizie mda wake.
Soma Pia:
Rasmi...
Watu mnaoleta takwimu za GERMAN MACHINE… mtakua hamfaham mpira!
Mpira umebadilika siku hizi…
Carlo anceloti akiwa Everton alipigika saana lakini haikuwazuia REAL MADRID kumchukua tena.
Vincent Kompany beki kisiki wa Man City, Aliishusha Burnley Daraja lakini Bayern Munich walimsajili na Ndio...
"Yanga, ah Yanga! Kumfukuza kocha inakuwa ni kama hafla ya kila mwaka,si lazima yawe matokeo mabaya, lakini inajikuta ikichukuliwa kama 'desturi' ya mabadiliko.
Kocha anapochukua mikoba, mashabiki wanajua kuwa atakuwa 'mfalme' kwa wiki chache tu,ndio, wiki chache tu! Kisha, na kwa uchungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.