Kocha Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids, amewataka mashabiki na vyombo vya habari kuacha kumwekea presha mchezaji wake Jean Charles Ahoua, akisisitiza kuwa kijana huyo bado ana safari ndefu ya kujifunza.
"Niliwahi kuwaambia kuwa Jean Charles Ahoua ni Mchezaji mdogo sana kiumri, alivyokuwa anafunga...
Simba mpeni ukocha mkuu Juma Mgunda, timu yetu ya Simba siyo timu ya kufanya majaribio ya kuajiri kocha ambaye hajawi kuwa kocha mkuu wa timu yeyote.
Fadlu David's amekuwa kocha msaidizi wa kocha aliyeondoka wa singida black star.
Chonde chonde tusifanye makosa hayo.
Hivi karibuni kumekuwa na tetesi kuwa Simba wako mbioni kukamilisha usajili wa kocha mmoja kutoka Afrika ya Kusini. Kama tetesi hizi ni za kweli basi simba watakakuwa wanakosea, huu ni mtazamo wangu binafsi.
Tatizo la Simba lipo kwenye uongozi, wengi wao ni wapigaji ambao wanaangalia zaidi...
Wana Simba SC Wenzangu vipi tena mbona baada ya 'Droo' ya Kagera jana ule Wimbo wa Kumsifia Kocha Mgunda siusikii tena? Tafadhali tendelee Kuuimba Ok?
Yaani Viongozi wa Simba SC nawakubali kwani wanajua sana Kucheza na Akili zetu, Kutupoza na Kutuhamisha Fikra zetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.