kocha wa taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kidagaa kimemwozea

    TFF tafuteni kocha mwenye CV kubwa

    Tuna malengo gani na timu ya taifa? Hivi karibuni tunaenda kukiwasha Afcon kwanini TFF wasitafute kocha aliyewahi kufikisha timu ya taifa yoyote katika hatua ya robo fainali ? Au tunaenda kurudi tena na alama 1 na kumaliza wa mwisho kwenye kundi? .tafakari chukua hatua
  2. M

    Kocha wa Taifa Stars jitafakari

    Leo timu ya taifa ( taifa stars) imenyolewa kwa chupa mbele ya watanzania pamoja na hamasa iliyokua uwanjani na mitandaoni Binafsi siamini katika hamasa kuliko kujishuhulisha. Imewezekanaje mpira uliopigwa leo na Taifa stars ichabangwe goli mbili kwa buyu? Tena mbele ya waziri mkuu Majaliwa na...
  3. Tango73

    Kocha wa Taifa Stars awe na hadhi ya Waziri, Katibu Mkuu AU na siyo hadhi ya katibu kata

    Taifa stars ni timu pekee yenye wapenzi wengi sana kuliko ilivyo kwa Simba na Yanga. Kocha yeyote ambaye atateuliwa kuifundisha timu yetu ya taifa stars lazima awe amesheheeni sifa nzuri za mafanikio huko alikotoka na hata kwetu hadhi yake iwe ya kibalozi, uwaziri au katibu mkuu African unity...
  4. Tango73

    Samata na Msuva sio tatizo la Taifa Stars bali ni kocha mwenye ujuzi kama Benchika au Gamond

    Kupangwa au kutopangwa kwa Samata na Msuva sio tatizo la Taifa Stars bali ni kocha mwenye weledi wa hali ya juu kufundishia timu ta Taifa Stars. Kumbuka timu ya Taifa Stars ndio timu pekee yenye wapenzi wengi wa soka kuliko hata Simba na Yanga hapa Tanzania. sasa kumchagua kocha mzalendo...
  5. M

    Ni watu wajinga tu ndo wanaamini kuwa wachezaji wa kigeni ndo tatizo kwa wachezaji wazawa na timu ya taifa

    Mpira ni Science na profession kama zilizo udaktari, ualimu, uhasibu uinjinia na nyngne nyingi kwahyo kuamini kwenye ngonjera na siasa za hapa na pale hakuta lisaidia Taifa kimpira. Jambo la kufanya ni kuwekeza kwenye facilities na manpower na mifumo thabiti basi, Hizo nyingine zote ni taarabu...
  6. Endeleaaa

    Kocha Syllersaid Mziray amefariki dunia, alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa figo

    Imeripotiwa amefariki huko Dar es salaam Hospitali ya Agakhan. RIP Kocha Mziray ========= Marehemu Syllersaid Mziray enzi za uhai wake MMOJA wa makocha wasaidizi wa timu ya Simba, Syllersaid Kahema Mziray 'Super Coach' amefariki.Mziray alifariki jana saa 10 alifajiri katika hospitali ya Aga...
Back
Top Bottom