Leo timu ya taifa ( taifa stars) imenyolewa kwa chupa mbele ya watanzania pamoja na hamasa iliyokua uwanjani na mitandaoni
Binafsi siamini katika hamasa kuliko kujishuhulisha.
Imewezekanaje mpira uliopigwa leo na Taifa stars ichabangwe goli mbili kwa buyu? Tena mbele ya waziri mkuu Majaliwa na...