"Kama kocha huyu sifa zake ni kukuza na kuuza kama alivyosema, basi Krismas hafiki maana Klabu ya Yanga wamepita level hizo, tumuambie kuwa amekuja kwenye timu ambayo msimu uliopita wamechukua kila kitu na wametumia nguvu kubwa kumbakisha Stephane, Pacome na Mzize na malengo yao ni kufika mbali...