kocha

The koch (Russian: коч, IPA: [ˈkotɕ] (listen)) was a special type of small one or two mast wooden sailing ships designed and used in Russia for transpolar voyages in ice conditions of the Arctic seas, popular among the Pomors.
Because of its additional skin-planking (called kotsa) and Arctic design of the body and the rudder, it could sail without being damaged in the waters full of ice blocks and ice floes. The koch was the unique ship of this class for several centuries.

View More On Wikipedia.org
  1. RASMI: Belouizdad yamfuta kazi kocha wake Sven Vandernbroeck (Kishingo) aliyekuwa kocha wa zamani wa Simba

    Klabu ya CR Belouizdad ya Algeria Imetangaza Kumfuta Kazi Kocha wake Mkuu Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji Kufuatia Mwenendo Mbaya wa Timu hiyo katika mechi za Ligi kuu ya Algeria (League 1) ambapo Wikiendi hii Timu hiyo ilipoteza mchezo wake wa Ligi wakiwa nyumbani dhidi ya Klabu ya Khenchela...
  2. R

    Kocha wa CR Belouizdad Sven Vandenbroeck afutwa kazi

    Kocha wa CR Belouizdad ambaye pia aliwahi kuifundisha Simba, Sven Vandenbroeck amefutwa kazi kwenye timu hiyo ambayo imepangwa kundi moja na yanga kwenye ligi ya mabingwa Afrika. Kocha huyo amefukuzwa kutokana na kutokuwa na matokeo yanayoelewa ingawa wachunguzi wa Mambo wanasema sababu...
  3. Kocha Ten Hag afikiria kumpiga benchi Marcus Rashford

    Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag anaweza kuchukua uamuzi huo kuelekea mchezo dhidi ya Brentford unaotarajiwa kupigwa leo Oktoba 7, 2023 sababu ikiwa ni kiwango cha mshambuliaji huyo kushuka na kushindwa kufunga. Msimu uliopita Rashford alifunga magoli 30 lakini hadi sasa amefunga goli...
  4. Kwa maneno haya ya Kocha Minziro wa Prisons FC na mwana Yanga SC lia lia nitamshangaa Mtu aliyechukia kwanini Simba SC imeshinda leo

    "Kiukweli Wachezaji wangu hawako Smart Kichwani ( akimaanisha ni Wapumbavu ) kwani kila Siku katika Uwanja wa Mazoezi nawapa Maelekezo yale yale lakini tukija katika Mechi wanayarudia. Niliwaambia Simba SC ina Wachezaji wengi wenye Vipaji vikubwa na Binafsi hivyo tusipokuwa makini Watatufunga na...
  5. Sijawahi kumsikia Kocha Gamondi akiwa na 'Kigugumizi', ila leo kila akihojiwa kinasikika Kulikoni?

    Au labda alikuwa nacho (anacho) ila Yanga SC ikifanya vyema hakimpati lakini ikishinda kama ilivyoshinda leo huko Mbarali Highlands Estates kwa Kumfunga Ihefu FC ndiyo huwa kinampata na kusikika? Kudadadeki leo Mitaani ni Kimya.
  6. Kufungwa leo kwa Yanga kocha anastahilii kupewa lawama zote

    Haina haja ya salamu,Yanga Leo kufungwa ni uzembe wa kocha mkuu wa yanga,. Kufanya rotation ya kikosii ni jambo nzurii kwenye football ila kwa akilii ya kawaidaa ukizingatia ushindanii uliopo kwenye ligi msimu huu unaendaa kucheza na timu kama Ihefu ambayo...
  7. Barua ya kocha kujiuzuru

  8. Chukua hii 100% Wachezaji Waandamizi wa Simba SC wakiongozwa na Chama kwa Makusudi Wanamuangusha Kocha kwa Kutumiwa na Kiongozi Mmoja

    Ndani ya Simba SC ya sasa kuna Makundi ya Wachezaji Watatu ambayo ndiyo yanaathiri mwenendo wa Timu Kiujumla Kundi la Kwanza Hili ni lile ambalo kwa Makusudi linaongozwa na Clatous Chama lililo nyuma ya Kiongozi Mmoja mkubwa lenye Lengo la Kumkwamisha Kocha Mkuu Roberto Oliveira. Kundi la Pili...
  9. Sina Uongozi thabiti, Kocha mahiri na Kikosi cha Kushindana kweli Kimataifa period

    Asante kwa Jini letu Kumchanganya Beki ili aone kuwa anaokoa kumbe anajifunga Mwenyewe vinginevyo leo ilikuwa ni 'Kuchapana Bakora na Kutimuana Day' tu na hakika tungeumizana Mbagala.
  10. S

    KOCHA AL-MERREIKH: Yanga inacheza kama vilabu vikubwa Ulaya, Watabeba Ubingwa

    Kocha wa klabu ya Al Merreikh, Osama Nabih amesema Yanga SC inacheza kama vilabu vikubwa vya Ulaya na kubainisha kuwa hatashangaa ikiwa Yanga itatwaa ubingwa wa Afrika. “Tumekutana na vilabu vikubwa vya Afrika, lakini tulivyocheza dhidi ya Yanga, tumeona ubora wao wa kipekee. “Sitashangaa...
  11. Toa ushauri kwa kocha wa Simba timu iwaje.

    Watu wengi wanamlaumu sana Kocha wa Simba jinsi anavyopanga timu na chaguo la wachezaji anaowachezesha kipindi cha kwanza au cha pili. Shutuma ya pili ni mbinu za kimchezo anazotumia Kocha huyo. Kuna watu wanaona Simba inacheza kimparaganyiko na taratibu sana. Jee Kocha Roberthino afanye kitu...
  12. Sakata la Kocha: Singida tumechagua kukaa kimya, tuna kazi kubwa mbele yetu

    Salaam, Nimeona mijadala mingi humu ikizungumzia sakata la kocha wetu ambaye amenukuliwa na vyombo vya habari nchini Afrika Kusini kuhusu sababu za yeye kuondoka kambini. Kwa upande wa klabu bado hatujasema chochote, taarifa yetu ya awali tulitoa kuhusiana na yeye kuondoka kambini kwa sababu...
  13. Kocha Simba ataponzwa na Chama na Phili

    Mfumo wa Robartinho hautaki uchezaji wa aina Clatous Chama na Moses Phili. Chama anafunga kwa kutumia juhudi zake binafsi sio mfumo wa Robertihno. Kocha anataka mpira wa kasi tofauti na Chama na Phili wanavyocheza. Kocha Simba ana kaa la moto kifuani kwako ambalo hajui afanye nini, na anashindwa...
  14. Kocha Ernest Middendorp: Nimeondoka Singida Fountain Gate kwa kuwa viongozi waliingilia majukumu yangu kwa kiwango kikubwa

    Muda mfupi baada ya kuondoka Singida Fountain Gate FC, Kocha Ernest Middendorp ameweka wazi sababu ambayo imemuondoa kwenye klabu hiyo. Akizungumza katika mahojiano na Mtangazaji Robert Marawa ambayo yamerushwa na 947 Joburg, kocha huyo amesema: Baada ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika...
  15. Hata Mimi kwa Dharau hii ningekuwa Kocha wa Singida Fountain Gate FC ningewaachia tu Litimu lao

    "Kocha GENTAMYCINE tafadhali tunakuomba upange Kikosi kulingana na Ulivyoambiwa na Kocha wa Yanga SC Gamondi ambao ni Ndugu zetu na siyo upange ujuavyo Wewe sawa?" Boss Mkuu wa Singida Fountain Gate FC. Haya nae sasa Kawaonyesheni kuwa siyo Mswahili kama mlivyo / tulivyo halafu Anajiamini...
  16. Alaumiwe kocha au benchi lake la ufundi?.

    Kocha alisajili kila mchezaji aliye muhutaji, alimpa kila funzo alilodhani ni la msingi kuonyesha uwezo uwanjani. Kila yalipotokea mabadiliko uwanjani mashabiki hawakuisha kuwa na matumaini na maingizo mapya ya kocha. Lakini matumaini hayo hayakuwahi kutimia, kila mabadiliko, zilisikika sauti...
  17. Kwa Mafuriko haya makubwa ya Brazil sasa hivi Kocha Roberto ataomba Udhuru hata kama hayajatokea Mji atokao

    Na hivi anavyopenda kwenda Kwao ( Brazil ) mara kwa mara nina uhakika hii Taarifa ya kutokea kwa Mafuriko makubwa nchini Brazil hivi sasa atakuwa anaitafuta Pasipoti yake ilipo na baadae awapigie Simu Viongozi na baadae Mchana au Jioni au Kesho aliamshe ( aende ) Kwao. Mwenye namba ya Simu ya...
  18. Siyo kila mchezaji mkubwa anaweza kuwa kocha mwenye mafanikio

    Mara kadhaa niliwahi kuahidi kuleta uzi unaohusiana na mada hii, leo nimetulia kidogo nimeukumbuka. Ngoja nitiririke. Kuna hii kasumba iliyojengeka kwenye mpira kudhani kuwa mchezaji yoyote hasa akitokea kupata mafanikio fulani kama mchezaji anaweza kuja kuwa kocha mzuri pale atakapostaafu...
  19. England: Kimenuka, baada ya kuwekwa benchi, Jadon Sancho amjia juu kocha wake hadharani

    Winga Jadon Sancho amedai sio kweli kuwa amekuwa hapati nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha Manchester United kwa sababu hajaonesha kiwango kizuri kama kocha wake, Erik ten Hag alivyodai bali hivyo ni visingizio dhidi yake. Kabla ya kupoteza kwa magoli 3-1 dhidi ya Arsenal, Ten Hag alisema...
  20. S

    Singida Fountain Gate yaachana na Hans Van Der Pluijm

    TAARIFA KWA UMMA Kocha wetu Hans van der Pluijm hatutaendelea nae. Timu yetu itakuwa chini ya kocha Msaidizi Mathias Lule mpaka pale itakapoamuliwa vinginevyo. --- PRESS RELEASE RE; COACH HANS VAN DER PLUJM RESIGNATION On behalf of the Board of Directors, management, sponsors, stakeholders...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…