Kwanza kwa kuanzia tu, ni kwamba tukija upande wa "kiufundi" ningesema sifa tatu muhimu kwenye mpira ni: intelligence, communication, and discipline. Inafahamika kuwa Xavi ni mchezaji mwenye akili, bila shaka ni mmoja wa wachezaji wenye akili sana ndani ya uwanja. Yeye si mchezaji mwenye kipawa...