Huyu kocha hata Mimi nikikaa pale naweza fundisha huu mpira unaochezwa, match karibu 7 za Simba wanashinda kwa kubahatisha na kwa msaada wa marefa,
Kinachonishangaza ni hizo sub zake zisizoeleweka, nimeshangaa Leo anamtoa Mpanzu aliekua na shoot on target 5 anamuingiza Mutale mchezaji ambae...