kodi kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Ni bora upange karibu na ofisi kwa kodi kubwa au upange mbali kwa gharama kubwa na usafiri wa taabu

    Upange karibu na ofisi kwa kodi kubwa Mfano: Upange kwa gharama X, umbali wa ofisi dakika 10 au Uende mbali kwa nusu ya kodi ya kuwa karibu, Gharama za usafiri kubwa na usafiri ni taabu Mfano: Upange mbali kwa nusu ya gharama X, usafiri laki 1, unaamka alfajiri kuwahi usafiri
  2. Mafinga: Wafanyabiashara wagoma kufungua Maduka siku ya pili baada ya Halmashauri kuwapangia kodi kubwa ya pango

    Mgomo wa wafanyabiashara katika Soko Kuu la Mafinga lililopo Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wa kufunga maduka, umeingia siku ya pili leo Agosti 24, 2024 ukisababisha adha kwa wananchi kukosa huduma. Mwananchi limefika sokoni hapo na kushuhudia milango ya maduka hayo imefungwa huku baadhi ya...
  3. Tetesi: Balozi za nchi zenye uwekezaji mkubwa nchini zatishia kusimamisha miradi, inadaiwa TRA inawabambikia kodi kubwa zisizolipika

    Kana kwamba sakata la wafanyabiashara wa Kariakoo halijatosha, nimepata tetesi kuwa sasa waekezaji wakubwa wamezilalamikia Balozi zao kuwa TRA inawabambika kodi zisizolipika na wengi wametishia kuondoa uwekezaji wao. Huu inaelekea ni mwendelezo wa malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na...
  4. Kodi kubwa kwa umaskini na kuumiza biashara

    High tax rates hinder poor countries from growing their economies. The tax rates from sales tax to income tax are too high for our region where businesses need more and more capital to grow and reinvest and create employment but instead the government’s strategy of imposing higher taxes is...
  5. Kwanini Jiji la Dar es Salaam linatoza Kodi kubwa ya Mabango?

    Hello wanajamvi! Naomba kuliza ni kwanini jiji la Dsm hususani ilala wanatoza Kodi kubwa ya mabango kuliko hata kodi ya mapato ya TRA hata ya halmashauri? Mfano! Mtu una biashara mauzo yako kwa siku hayafiki laki na nusu 150,000, TRA kwa mwaka unalipa around 1,500,00 mapaka 2,400,00. Kodi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…