Wakati nikiutafakari umasikini wa Mwafrika na vipi tutajikwamua kutoka hapa tulipo nakutana na mauzauza ya wananchi wakenya wanao andamana kisa ongezeko la kodi katika bidhaa mbalimbali. Nimekaa nikajiuliza ikiwa sisi waafrika tunataka kujitegemea kiuchumi, nivipi tutaweza kuziepuka hizi kodi...