Arusha
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, ametoa wito kwa wamiliki wote wa ardhi nchini kuhakikisha wanalipa Kodi ya Pango la Ardhi kwa wakati ili kuepukana na faini na adhabu zisizo za lazima.
Akizungumza leo, tarehe 20 Juni 2026, katika kikao kazi...