Mwenye nyumba Kariakoo (Mtaa wa Sikukuu/Kipata) anataka kuvuruga watu. Hapo nyuma alikuwa anapokea kodi ya TZS 24,000,000/= p.a, lakini yeye analazimisha na mwanasheria wake kuandika kodi ya TZS 6,000,000 tu p.a.
Mwaka jana akasema kodi imepanda kutoka Mil 24 mpaka Mil 36! Akaambiwa kama...
Ninapoenda dukani kwa Shayo kununua sukari na dawa ya mbu nalipa kodi
Ninapokata tiketi ya basi au treni nalipa kodi
Ninaponunua LUKU nalipa kodi
Ninaponunua wese la gari nalipa kodi
Nikienda kutibiwa nalipa kodi.
Najiuliza takwimu ya walipakodi wa Tanzania kutozidi milioni mbili imetoka wapi...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema wanaolipa kodi halisi Nchini ni Watu milioni mbili tu kati ya Watu milioni 65 ambapo amesema idadi hiyo ni ndogo sana hivyo amewataka Watanzania wengi zaidi walipe kodi ili kuchangia uchumi wa Taifa.
Rais Samia amesema hayo leo October 04,2024...
Mh. Rais hivi sasa ni saa kumi na mbili kamili nina Imani umeisha amka na umeisha swali Dua ya Asubuh!
Mh. Rais shikamoo!
Mh. Rais nauliza swali dogo na mimi ni Mtanzania na Mkurugenzi wa Taasisi kwa miaka 7 nchini Tanzania na ni mlipa Kodi mzuri kwa mujibu wa sheria zetu na ni MUUMINI wa...
Kodi zetu ndio Maendeleo ya Taifa letu.
Mwaka 2021/22- Trillions 22.2.
Mwaka 2022/23- Trillions 24.1.
Mwaka 2023/24- Trillions 27.6
====
Pia soma:
Mgogoro wa Kariakoo vs TRA; Tatizo Siyo Kodi Bali Matumizi Mabaya ya Kodi
Chini ya 20% Ya watanzania ndio walipa Kodi
• Hapa Ni Ile Kodi ya moja kwa moja
•Kwa takwimu za mwaka Jana Ni 16% ya Nguvu kazi ambayo ndiyo inalipa Kodi Yani Kati ya Nguvu kazi ya Tanzania 33,000,000 Ni watu chini ya milioni nne Pelee ndio wanalipa Kodi
Kama ndivyo nilazima Hawa wachache wanaolipa waione mzigo kwa manufaa ya watu...
Habari za muda,
Nimeenda Kariakoo kuchukua spare fln ya gari nikafika pale mitaa ya fire nikauliza Bei akasema Bei ya spare hyo Ni 230000 lkn bila risti ataniuzia kwa 180000 mbya Zaid naona wanaongea billa kupepeza macho Wal kuongea kwa chini chini alisema kwa lafudhi ya kihindi " hey rfk hyo...
Salamu wakuu,
Hili nimekutana nalo jana, japo imekuwa sio ngeni ila hii niliipokea kwa uchungu mkubwa sana (sijui kwa vile ni Wachina), kama mzalendo ikabidi ‘nipachimbe’ sana.
Wanauza bidhaa kwa kile wanachoita ‘bei ya kiwandani’ hivyo mteja unategemea unafuu wa bei, na kwa kuzingatia hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.