kodi ya ardhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizara ya Ardhi-Web page yenu ya kukadiria kodi ya viwanja haifanyi kazi

    Serikali siku zote inasisitiza mapato, na imeunda systems za kurahisisha ukusanyaji wa mapato hayo. Sasa inapoelekea systems hizo hazifanyi kazi basi ujue kuna hujuma ili hela zilipwe kwenye mifuko ya watu. Wizara ya Ardhi, nimejaribu kutumia web page hii ili kukadiria na kulipa kodi bila...
  2. Naibu Waziri Pinda ahimiza utoaji Hati kwa wakati

    DODOMA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewahimiza wasajili wa Hati na Nyaraka Wasaidizi katika ofisi za Ardhi za Mikoa kuhakikisha wanatoa hati milki za ardhi kwa wakati kwa wananchi walioomba kupatiwa hati hizo. Mhe Pinda ametoa kauli hiyo leo tarehe...
  3. BURE; Jinsi Ya Kutumia GPS App Kwenye Simu Janja Kupata Vipimo Vya Shamba/Kiwanja

    GPS (Global Positioning System) ni teknolojia ya kisasa inayotumika kupima na kupata vipimo vya eneo au kiwanja kwa usahihi. Kwenye simu janja, unaweza kutumia programu za GPS ili kupata vipimo vya kiwanja chako. Hapa chini ni hatua kwa hatua jinsi ya kutumia GPS App kwenye simu yako janja...
  4. Kwanini Unahitaji Mastermind Group Ili Uweze Kupiga Hatua Kubwa Kwenye Uwekezaji Wa Ardhi au Majengo

    Kwanini Unahitaji Mastermind Group Ili Uweze Kupiga Hatua Kubwa Kwenye Uwekezaji Wa Ardhi au Majengo Katika safari ya uwekezaji kwenye majengo, kuwa na Mastermind Group ni muhimu sana kwa sababu ya faida nyingi ambazo kundi hili linaweza kuleta. Mastermind Group ni kundi la watu wenye malengo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…