Miaka ya nyumba wazazi wetu wakilipa Kodi ya kichwa ilikuwa elfu 5 tu.
Napendekeza Kodi ya kichwa iwe elfu 50 Kwa mwaka. Kila mwanaume na mwanamke mwenye umri wa miaka 18 ambaye sio Mzee au mlemavu alipe Kodi.
Haiwezekani hii nchi raia hawalipi Kodi wanaolipa Kodi ni wachache mno.
Wakiulizwa...
Mtanisamehe!
Kwakuwa sisi watanzania ni watu tusioweza kuungana kupinga jambo linaloumiza wachache, naomba makali yo tozo yaendelee na zaidi kodi ya kichwa ianze kukusanywa kwa vitendo.
Wapinzani waliteswa na kunyanyswa sana lakini kuna wenzetu walikuwa wanabeza Kwakuwa hayawahusu na...
Kama mtakuwa muna kumbukumbu nzuri waziri wa fedha alipendekeza kodi ya watu wazima yaani kodi ya kichwa.
Binafsi napenda kulipa kodi na kama serikali itaona uhalali wa kuleta Kodi mpya zingine ziletwe haraka.
Sasa hii kodi inapaswa iwe kwa madaraja. Ashukuriwe Mungu sensa imekuwa mgongo wa...
Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Mwigulu Nchemba na serikali kwa ujumla msiwaonee huruma Watanzania.
Wengi wamezoea kuishi kwa madili na wizi.
Serikali inapoteza kiasi kikubwa cha fedha kwakuwa watu wanaikwepa. Kuna rafiki yangu ana biashara kwa siku faida ni 200,000 lakini kwa mwaka alikuwa...
Mihamala ilipopungua ya Simu, Wananchi Sikivu wakaweka pesa Bank.
Sasa Bank Mmefuatwa wananchi Sikivu, mtu anakatwa matozo na maelezo ya kutosheleza.
Sasa Wananchi wanahamia Kwenye Vibubu Nyumbani sasa kutokana na hali ya maisha kwasasa na kurudi kwa wimbi la Vibaka wanaovunja nyumba za watu...
Kodi kubwa na nyingi ndiyo zitatuzindua usingizini na kutufanya tufuatilie mipango na maendeleo ya nchi hatua kwa hatua.
Hizo ndiyo zitawainua wananchi kupaza sauti na kuwa wakali kwa watendaji wa serikali wanavyofanya mambo kiholela na kimazoea.
Ni sababu ya kutolipa kodi au kodi kidogo ndiyo...
Wazazi walinihadithia kwamba hapo zamani, wazazi wao wa kiume(babu zangu) walikuwa wanatabia ya kukimbia na kujificha maporini pale ambapo walikuwa hawajalipa kodi ya kichwa, maana familia ilikuwa ni kubwa, na hapakuwa na pesa ya ziada ya kwenda kulipa kodi ya kichwa, hivyo kuna kipindi...
Waziri wa Fedha na Mipango amependekeza kugawa TIN kwa watu wa kuanzia miaka 18 na kuendelea, na taarifa hizi ziende sawa na NIDA ili kulipa kodi kwa usahihi.
Baadhi ya watu wamehusianisha namna hii ya ukusanyaji kodi na Kodi ya kichwa, kitu ambacho naona ni kupotosha ukweli kuhusu kodi ya...
"Kila mtanzania mwenye umri wa zaidi ya miaka 18 na mwenye kipato anatakiwa kulipa kodi. Ili kutimiza amza hiyo, Serikali inakusudia kutoa namba ya utambulisho wa mlipakodi (TIN) kwa kila mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18 au zaidi"
"Kwa kuwa utaratibu wa usajili wa namba ya utambulisho...
Kila mmoja kwa nafasi yake inabidi awajibike kuichangia hii nchi tupate maendeleo
Najua tayari kuna kodi nyingine ila hizi zilizopo sidhani kama zinatosha kuleta maendeleo kama wananchi tunavyotarajia sababu sio wote wanatoa. Nadhani ukiletwa utaratibu mzuri wa hii kodi Serikali yetu itapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.