kodi ya mafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ongezeko la kodi ya Mafuta ni kuwalipa fadhila "Wakubwa" wanaomiliki hisa/makampuni/vituo vya Mafuta?

    Serikali awamu ya 4 ilikuwa ni moja ya Serikali Fisadi zilizopata tokea Barani Afrika. Kwa wanasiasa na watoto wao kuchuma mali kadri ilivyowezekana. Mpaka kufikia kuuza/gawa viwanja/maeneo ya Serikali kutumika na Makampuni binafsi. Refer eneo la Tazara kupewa Kampuni moja ya kuuza Mafuta ya...
  2. Serikali kuongeza kodi ya mafuta na kushusha ya vinywaji ni sawa na Muuaji anayetabasamu

    Anapotokea mtu akapandisha kodi ya Mafuta akashusha kodi ya Vinywaji na wananchi wakaridhika inaonesha ni jinsi gani tuna taifa la kinafiki kwa kiwango kikubwa. Kuna wale wauaji ambao huwa wana sura za upole na hawajengi makunyanzi wakati wakitaka kutimiza malengo yao. Hawa wanaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…