kodi ya majengo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kodi ya Jengo: Mbona nakatwa kiwango cha juu sana?

    Alafu siishi gorofani daah tutafika kwel?
  2. Uwezo wa raia kununua/kufanya manunuzi umeshuka

    Ni wakati mgumu sana kwa wafanya biashara; purchasing power ya wananchi imeshuka mno. Pesa inaenda moja moja serikalini bila kupitia kwa wafanya biashara Tozo ni laana kali Sana. Wachumi fanyani kazi yenu la sivyo kila kitu itasimama. Hakuna tena kuzungusha hela ni kulipa Tozo tu. Wenye...
  3. Rais Samia kwanini unafanya hivi? Ni wapi tumekukosea?

    Mama Samia kwa nini mnafanya hivi, mbona hii sio fair? Ni wapi tumekukosea? Kabla nilitegemea ulipoingia ungepunguza ukali wa maisha Ila ukali ndio unazidi. Mama Samia mbona hakuna aliyekataa kulipa Kodi? Ndani ya miezi minne kufanya haya mabadiliko makubwa hivi huoni ni kama unatutesa sana...
  4. China, Marekani na Ulaya walitozana sana kufikia hapo. Maendeleo ni gharama, serikali isigeuke nyuma!

    Watanzania waelewe, serikali haina vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kodi ya Watanzania. Watanzania tunataka maendeleo,barabara nzuri,reli,umeme, shule,hospitali, miji iliyopangika,maji, serikali yenye ufanisi,ulinzi na usalama,lakini ili upate vitu hivyo lazima ugharamikie kwa tozo na kodi...
  5. Watanzania, tujiulize yale makato/tozo yalikwenda wapi

    Ni kilio kilio cha tozo, makato, kila mahali. Ila watanzania wenzangu tukiendelea kusikilizia maumivu haya makali kabisa, embu kwa pamoja tujiulize maswali tafakuri yafuatayo Je, makato na tozi za zamani katika miamala ya simu, vilienda wapi? Je, tulishawahi kufanyiwa press conference ya...
  6. Askofu Bagonza ahoji maswali 8 tozo za simu, majengo

    ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe Mkoa wa Kagera, Dk. Benson Bagonza ametoji maswali nane juu ya tozo za miamala ya simu na majengo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kagera … (endelea). Tangu kuanza kwa tozo hizo, zimeibua mjadala kwa wananchi huku Serikali...
  7. Watanzania tuamke, Bunge la chama kimoja limezaa tozo

    Watanzania muda tulio nao kwa sasa na matatizo tunayo pambana nayo liwe fundisho. Mwaka 2020 October tukubali kuwa tulichezewa sana na tukakubali na matokeo yake ndiyo haya sasa. Bunge lililopatikana ni matokeo ya sisi kukubali kudanganywa kwa maneno mazuri lakini sasa tunaonja shubiri...
  8. Makato ya kodi ya majengo kupitia LUKU hayana tofauti na 'service charge' ya kila mwezi

    Ile service charge iliyoondololewa kipindi kile na watu tukashangalia nadhani ndo hii imerudi tena in style. Mana kila mwezi watakua wanakata kwahiyo lazima uwawekee bajeti yao kila mwanzo wa mwezi kwahiyo binafsi naona ni kama ile service charge imerudi ila kwa style tofauti.
  9. Tatizo si kulipa ila ni kumlipia mwenye nyumba ili hali kodi nampa

    Tulipeni Kisha wenye nyumba tukaeni chini nao tuzungumze,wakate kwenye usafi na vitu vya usafi
  10. Umeme wa Shilingi 5,000 nimepata Units 8.5. Je, tutafika?

    Kodi ya majengo imeanza kutushughulikia, yaani Tshs. 5,000 naishia kupata Unit 8.5 badala ya 14.1 kama ilivyokuwa zamani. Tunakoelekea kutakuwa na tozo ya tozo, maana anaupiga mwingi!
  11. Mbona hayati Magufuli alijenga vituo vya afya bila kukamua wananchi tozo za miamala? Alitoa wapi pesa?

    Hili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi? Je, kama alipata hizo pesa na kujenga vituo, chanzo kilikuwa ni kipi? Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi? Je...
  12. Usambazaji wa umeme vijiji (REA) Ilikuwa mbinu ya kuongeza idadi walipa kodi ya Majengo?

    Leo Nyumba duni zenye umeme ukinunua umeme lazima utakatwa kodi ya jengo, hii ni kwa sababu hakuna mfumo wowote TANESCO unaoonyesha nyumba duni na nyumba bora. Mfumo wao unatambua namba ya mita tu baasi. Je, ule usambazaji wa umeme wa REA vijijini ulilenga kuongeza kodi zaidi ?
  13. Hii Kodi ya Majengo mbona ni utata? Ninawaza tofauti

    Ninajiuliza, kama mwanzo kodi hizi zilikua zinalipwa na wamiliki wa majengo, imekuaje mzigo huu utupiwe kwa wapangaji? Hii ni haki siyo uonevu? Kwanini nisifikiri kuwa viongozi wetu huko juu ndio wengi wao wanamiliki majumba mengi kama miradi yao wanataka kukwepesha mzigo huu kwao? Kwanini...
  14. N

    Kodi ya majengo kuanza kukatwa kwenye Luku kuanzia Agosti 20, 2021. Je, Serikali imekosa Dira, mbinu zimewaishia?

    Naomba kuuliza maswali machache. Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa? Kwa hiyo kwanzia agost 20 kodi ya jengo inalipwa na mpangaji? Vipi kuhusu nyumba ambazo kila chumba kina mita yake? Vipi kususu mpangaji mmoja ambaye kapanga...
  15. Mwigulu: Kodi ya majengo kwa kutumia LUKU sio ya Mpangaji ni ya Mmiliki

    Waziri wa Fedha na Mipango amesema mfumo wa ulipaji wa kodi ya majengo kwa kutumia mita za LUKU haitawahusu wapangaji bali ni wamiliki wa nyumba husika. Ametoa mfano wa ilivyokuwa kwamba mpangaji anapokuwa amelipa malipo ya mmiliki huwa anawasiliana na mwenye nyumba wake ili arudishiwe hela...
  16. Anne Kilango Malecela: Kuna mkanganyiko kwenye suala la kodi ya majengo. Ieleweke anayelipa ni nani

    Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Anne Kilango Malecela, ametaka suala la kulipa kodi kwenye majengo kuangaliwa vizuri akisema, "Mkaliangalie vizuri huko mtaani. Tusidanganyane, kuna mkanganyiko!" Ameshauri jambo hilo kuwekwa vizuri kwa Wananchi na kueleweka anayelipa Kodi hiyo ni nani kati ya...
  17. Z

    Kodi ya Majengo bado ni tatizo

    Kodi ya majengo haswa kwa nyumba ambazo hazijapimwa, hazina hati miliki wala namba za mitaa/namba za nyumba ni vigumu kukusanya kodi mpaka pale utaratibu mzuri utakapo wekwa. Watu wengi wanao miliki nyumba wapo katika maeneo yasiyo rasmi, nyumba hazina hati, hazina namba lakini baya zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…