Ni wiki chache tu tangu serikali ianzishe kodi ya miamala ya simu kwa madai kwamba mapato yatakayotokana na tozo hizo yataenda kufungua barabara za mjini na vijijini.
Lakini juzi, waziri huyo huyo aliyetuaminisha kwamba barabara zitajengwa kwa kodi inayotokana na tozo ya miamala ya simu...
Ndugu zangu habarini ! Poleni kwa changamoto zinazowakabili kutoana na mihangaiko mnayokabiliana nayo.
Niende kwenye mada, ndugu zangu Watanzania wapotayari kulipa kodi kwaajili ya maendeleo yao bila kujali kiwango watakachotakiwa kulipa kwa serikali yao.
Ila kutokana na madhaifu kadhaa kutoka...
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema wananchi wasiwaze kuhusu gharama za miamala ya simu kwa kuwa mzunguko wa fedha utaongezeka
Akiongea katika kipindi cha Aridhio, TBC amesema gharama za miamala hazina maana kwa kuwa watakuwa wanapata fedha zaidi katika kipindi hichi...
Kama serikali imeona umuhimu wa kuwalipisha kodi watanzania wanaoishi nje lakini hutuma pesa nyumbani kwa kwa ndogu zao, basi wakati umefika kwa serikali hiyo kutambua kuwa watanzania hao si adui hata kama wamshachukua uraia wa huko wanakosihi. serikali hii itumie busara hiyo kuwatambuakuwa ni...
Leo tarehe 15 Julai 2021, Selikari isiyopenda kukusanya kodi ya dhulma kupitia wizara yake ya fedha imeanza rasmi kutekeleza makato ya kodi ya kizalendo inayokatwa moja kwa moja katika miamala ya kifedha ya mitandao ya simu. Sina tatizo na kodi hiyo ila tuna mengi ya kujadili kuhusiana na...
Hulka yetu watanzania tuliowengi hatupendi kulipa kodi kwa hiari ila ni wa kwanza kuilamu serikali pale inaposhindwa kuleta huduma za maendeleo.
Yaani tunafikiri pengine maendeleo yanakuja tu kama mvua ishukavyo kutoka mawinguni au labda kwamba nchi inaweza kujiendesha yenyewe pasipo watu...
Hii ni fursa nzuri kwenu, kwani gharama za kutoa pesa kutoka benki hasa ATM ni nafuu sana
Nimesikia taarifa isiyo rasmi kwamba pesa iliyokuwa kwenye mzunguko wa hii mitandao ya simu ilikuwa ishaipuku baadhi ya benki nchini
Kama ndiyo tumieni fursa hii kujiimarisha hasa kwa kuja na mikakati...
Makato mapya ya Miamala ya fedha katika Simu yanatisha, vipi Muamala mmoja ukatwe kodi mara mbili?
Tuanze pia kuonesha UZALENDO kwenye kukata KODI ya Uzalendo kwenye marupurupu yote wanayolipwa wabunge wetu ambayo kwa sasa hawakatwi chochote
Mfikishieni ujumbe huu Waziri Mwigulu malipo yapo...