kodi ya pango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KENZY

    Huko ughaibuni ni kweli watu wanaishi kwenye magari kwasababu kodi ya pango ni kubwa

    Wakuu kuna jambo naomba tuwekane sawa, haswa kwa wale ambao wameshakaa nchi tofauti tofauti kuna taarifa nimeiona huko USA, kuna watu wanaishi kwenye magari kwasababu hawana uwezo wakulipa pango ya nyumba! Inakuwaje mtu anaweza kumudu kuwa na gari na akalihudumia lakini akashindwa kukodi nyumba...
  2. M

    KERO TANESCO nalia na nyie! Mmehalalisha wizi kupitia makato ya kodi ya pango

    Jamani, Tanesco, nalia na nyie! Mtatutoa roho nyie. Yaani mtu unanunua umeme wa shilingi elfu 20, unapewa umeme wa shilingi elfu 10? Hivi nyie mna matatizo gani? Iko hivi, juzi umeme kwangu uliisha usiku, nikasema ninunue umeme wa elfu 5, ukagoma. Nikajua labda pesa haitoshi, nikiongeza elfu...
  3. P

    KERO Halmashauri ya Mkuranga inataka tulipe kodi ya pango kwa zaidi ya asilimia 10 tunayoipata kupitia vibanda

    Kuna mambo ya sintofahamu katika wilaya hii ya Mkuranga. Sehemu ya Stendi halmashauri inadai tulipe kodi ya pango kwa zaidi ya asilimia 10 tunayoipata kupita vibanda, pia wametoa mikataba ambayo watu hatuelewi wakidai kwamba tunataliwa tulipe elfu 40 kodi ya kibanda na wakati kibanda ni changu...
  4. W

    TRA ondoeni Kodi ya Pango kwa mfanyabiashara

    Haiwekani mimi nimepanga frem labda laki moja kwa mwezi, nakuja kutaka tin namba mnaniambia niletee mkataba wa pango, nikasheleta mnaniambia nilipe 10% ya Kodi niliyolipa kwa mwaka halafu mimi nikamdai mwenye fremu. Kwanini TRA msiweke utaratibu wa wenye fremu kulipa Kodi wenywewe? Inaumiza...
  5. D

    Kwanini huwa tunalipia kodi ya pango la ardhi wakati ardhi tumeikuta ipo bure? Why?

    Mambo mengine mtu ukiwaza unaona kabisa maisha ni mepesi kimtindo lakini kuna baadhi ya wanadam wenye dhamana ya uongozi ndiyo waliyoyafanya maisha yawe magumu! Tumeumbwa ardhi ilikuwapo, tumepata Uhuru, ardhi ilikuwapo milele hadi milele yote! Sasa kwanini tunalipia kodi ya pango la ardhi...
  6. ChoiceVariable

    Serikali: Vitasa janja (smart Lock) kiboko ya wapangaji wanaokwepa kodi ya pango

    Serikali imeanzisha utaratibu wa kufunga Vitasa janja yaani smart lock kwenye nyumba zake za makazi ya kupangisha Ili kuwadhibiti Wanaokwepa Kodi ya Pango. Swali, kwani hakuna program au software ya kucheza na hii mbinu ili kupata upenyo? === Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame...
  7. B

    Wizi wa TRA kupitia kodi ya pango

    Kodi ni matoleo ya watu kutokea katika mapato yao ambayo kimsingi hayapaswi kuwa mzigo. Mnapowalazimisha watu hata kwenda kukopa ili wawaletee tu nyie pesa kwa hakika hiyo siyo kodi tena bali ni wizi. "Mtu kajenga nyumba yake kwa kujikongoja labda kwa miaka kadhaa ikimgharimu labda 60m/- +...
  8. Peter Madukwa

    Kodi ya Pango: TRA yatoa ufafanuzi kuhusiana na kodi ya pango

  9. N

    Ngoma Inogile: Wapangaji sasa kulipa asilimia 10 ya kodi TRA

    Kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi kupitia Ukurasa wake wa Instagram, imeeleza kuwa; Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imesisitiza wapangaji kuwa wazalendo na kulipia asilimia 10 ya kodi wanazokuwa wakilipa kwa wenyenyumba ili kulipia kodi ya pango. Akiwa katika mafuzo ya wafanyabiashara juu ya...
  10. Sir robby

    Halmashauri bado hazijaanza utekelezaji wa agizo la Rais la kusamehe riba Kodi ya Pango

    Mh RAIS alitangaza kuwa Serikali yake imesamehe KODI ya PANGO kwa kuondoa RIBA kwa Wamiliki wa Viwanja wanaodaiwa KODI ya PANGO. KODI iliyosamehewa ni ile ya ADHABU/RIBA kutokana na Kuchelewa kulipa KODI sahihi ya Kiwanja na Akatoa MUDA wa Miezi 6 Yaani kuanzia July 2022 mpaka Desemba 2022...
Back
Top Bottom