Nimemaliza kusoma andiko lililochapisha Review of African Political Economy likizungumzia Tanzania's Solidarity Tax, yaani kodi ya uzalendo ambayo ilianzishwa mwaka 2021 robo ya tatu.
Mtafiti katika andiko hilo ameweka sababu nyingi ya kuwa Tanzania haihitaji kuwa na tozo ya uzalendo, zifuatazo...
Mihamala ilipopungua ya Simu, Wananchi Sikivu wakaweka pesa Bank.
Sasa Bank Mmefuatwa wananchi Sikivu, mtu anakatwa matozo na maelezo ya kutosheleza.
Sasa Wananchi wanahamia Kwenye Vibubu Nyumbani sasa kutokana na hali ya maisha kwasasa na kurudi kwa wimbi la Vibaka wanaovunja nyumba za watu...
Salaam wakuu,
Nimejaribu kutathmini kuhusu hii tozo na wataalamu zaidi watusaidie.
Nimeskia takwimu zikisema kuwa kwa siku inafanyika miamala milion kumi nchi nzima kwa mitandao yote ya simu sasa tuassume kwamba katika miamala yote hiyo miamala laki mbili tu ni ya shilingi laki moja yani...
Ndugu zangu habarini ! Poleni kwa changamoto zinazowakabili kutoana na mihangaiko mnayokabiliana nayo.
Niende kwenye mada, ndugu zangu Watanzania wapotayari kulipa kodi kwaajili ya maendeleo yao bila kujali kiwango watakachotakiwa kulipa kwa serikali yao.
Ila kutokana na madhaifu kadhaa kutoka...
Wakuu, nawasalimu kwa Jina la Jamhuri.
Nimepita mitandaoni, nimeona jinsi watu wanavyomshambulia Mwigulu kuhusu tozo ya miamala. Naunga mkono mashambulizi, lakini nadhani tunakosea tunayemwelekezea mashambulizi hayo.
Wanasema kila zama na kitabu chake. Wakati wa enzi za Mwendazake, taifa...
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema wananchi wasiwaze kuhusu gharama za miamala ya simu kwa kuwa mzunguko wa fedha utaongezeka
Akiongea katika kipindi cha Aridhio, TBC amesema gharama za miamala hazina maana kwa kuwa watakuwa wanapata fedha zaidi katika kipindi hichi...
Mwanzoni mwa utawala wa awamu ya sita ulisifika sana na ukionyesha Tumaini jipya kwa watanzania.
Wengi walienda mbali na kudai hata kuongezewa muda sababu amewafungua watu toka kwenye mateso. Kafungulia wabambikiwa kesi wote,kalegeza baadhi mambo ambayo mtangulizi wake alikuwa amekomaa...
Naona serikali siku hizi imekuwa hodari sana wa kupokea ushauri wa tozo za serikali kwa kisingizio cha uzalendo bila hata kuzifanyia utafiti wa kina kuona kama kuna socioeconomic impacts za tozo hizo. Serikali sasa inaendeshwa kwa njia ya "hapendwi mwananchi bali kodi yake"
Mwigulu amekuwa...
Kilimo cha Bangi,kuweka tozo na kupunguza posho za watumishi wa Serikali katika kuongeza pato la Taifa mbadala wa tozo za simu, mafuta ya petroli, dizeli, mafuta ya taa, mafuta ya chakula na sukari.
Habari nawasalimu wadau na wana JF wote, nina imani mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila...
Kweli serikali hii imekosa great thinkers wa kuisadia yaaani it does not make sense mfano natuma hela kwa mzee wangu Crdb million 4 nakatwa 11,800 arafu mjinga mmoja na akili za ajabu anakwambia kutuma million 4 kwa simu ni 15,000 or 21,500
Sasa hapo bado uliyemtumia hajaenda kutoa.
Huu ni...
Tuna Wabunge 413 kwa taarifa za leo June 22/2021.
Ili kuondoa utata wa kodi ya uzalendo kwenye simu na LUKU napendekeza Kodi ya Uzalendo kwa Wabunge Tsh. 1,000,000 kila mwezi wakatwe.
Wananchi vyuma bado vimekaza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.