kodi za magari makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Kodi tunayotozwa kwenye magari ni kubwa mno kwani inaendaga wapi? Mbona sioni impact yake kwenye uchumi?

    Kwa wanaojua mchakato wa kununua gari nchini Tanzania hadi kukamilisha taratibu zoote za usajili, huwa gharama zinakuwa almost sawa na nusu ya bei ya gari ukilinganisha na nchi ilikotoka. Na kama hujatembea nchi za wenzetu unaweza usielewe namna sisi tunavyokamuliwa makodi makubwa. Mfano ni...
Back
Top Bottom