kodi

  1. ALTEZZA TRAVEL YASHINDA TUZO YA MLIPA KODI BORA WILAYA YA HAI K'NJARO

    ALTEZZA TRAVEL MLIPA KODI BORA WILAYA YA HAI K'NJARO MOSSHI Kampuni ya wakala wa Utalii ya Altezza Travel imeshinda Tuzo ya mlipa Kodi bora kwa walipa Kodi kutoka wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro . Tuzo hizo zimetolewa wiki iliyopita Katika hafla fuoi ya kutunuku Tuzo kwa walipakodi bora...
  2. X

    China vs U.S Trade War: China yaijibu Marekani. Imeongeza kodi katika bidhaa za Marekani na zuio la kampuni za Marekani kufanya biashara na China.

    China suspends soybean imports from three US companies, including Louis Dreyfus, one of the world’s biggest agricultural trading companies. More than half of all soybean exports from the US go to China. (60-65% of US soybean export is to China!) China imposes retaliatory tariffs on...
  3. E

    Je mtu akifa, tozo za kodi endelevu kama za ardhi, zinasimama ?

    Mwenye mali akifa, kodi za ardhi zinaendelea kuhesabiwa ? Nani anadaiwa ? Shauri la Mirathi limeisha baada ya miaka 7, Daudi umepewa nyumba ya marehemu babaako. Kupata nyaraka za umiliki mpya unaambiwa nyumba ina deni la kodi ya ardhi miaka 7. Nani alipe ? Kwanini ?
  4. Anza mwaka kwa kufanya makadirio ya kodi kwa wakati: Fanya makadirio ya kodi ya mapato mapema na epuka adhabu

    Kwa mujibu wa Sheria ya Kodi ya Mapato, Sura ya 332, Kifungu cha 84 (kama ilivyorekebishwa mwaka 2023), mlipa kodi (binafsi au kampuni) anahitajika kufanya na kuwasilisha makadirio ya kodi ya mapato kwa wakati. Sheria hii inaweka miongozo ifuatayo: 1. Muda wa Kuwasilisha Makadirio ya Kodi...
  5. Zalisha faida kwa uwekezaji mdogo katika UTT na Hati fungani

    Nipo zangu katika Site ya ujenzi ,Kuna wazo la Uwekezaji mdogo limenijia. Kwa wale wanaopokea mshahara wa kuanzia 250,000 hadi 450,000 Ambao hawapati nafasi ya kufanya biashara nje ya kazi yao. Wasio na Pensheni. Uwezo wa kuiweka hela na kuisahau. Fedha yenye maremgo ya miaka miaka mitano...
  6. Kwanini biashara kubwa ikifika level VAT kodi inapokuwa kubwa uzifunga au ubadilisha leseni na jina la kampuni au biashara.

    Ili swala sio geni kusikia kampuni au biashara nyingi zikipitia ili,Hapa nimeweza kuwapa sababu kuu zinazowafanya wafanyabiashara kufunga biashara zao au kubadilisha jina na leseni ya kampuni mara wanapofikia kiwango cha kulipa VAT ni pamoja na: 1. Mzigo Mkubwa wa Kodi • Kodi ya VAT ni...
  7. Ombi maalumu: Tafadhali mwenye mawasiliano na Mjumbe yoyote aliyeteuliwa na Rais kupitia Upya misururu ya Kodi TRA anifikishie ujumbe huu muhimu

    Ukinunua dai Risiti, Ukiuza toa Risiti. Mhe Mjumbe habari, Kwanza, natumia jukwaa hili kukupongeza wewe binafsi pamoja na wenzako wote kwa kuaminiwa na kuchaguliwa na Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa wajumbe wa Kamati hii maalum ya kusikiliza sauti za wasiokuwa na sauti juu...
  8. Hakikisha mshahara wako wa mwezi mmoja unatosha kulipa kodi ya miezi sita , kama hautoshi tambua umepanga nyumba sio size yako. madeni hayatakuisha

    habari wadau. Nimegundua watu wengi wanapanga nyumba zenye kodi kubwa kulipo uwezo wao. wanateseka sana na mikopo hasa muda wa kodi unapofika. wakifata hii sheria ya asili ya maswala ya kodi za nyumba, wataishi kwa amani sana
  9. Chawa mwanadamizi Mwijaku atoa povu baada ya TRA kumtaka alipe kodi

    Nikajua ukiwa chawa, haubugudhiwi.🤣🤣 TRA wamefatilia makampuni ambayo Mwijaku anayotangaza biashara nao, na kutaka makampuni hayo yalipe kodi kwa mamlaka hiyo. Mwijaku baada ya kupata taarifa hiyo akatoa povu. Hajaamini macho yake. TRA nyoosheni hivyohivyo, hakuna kucheka na wowote
  10. Ofa kwa wanaotaka kufungua kampuni na wanaomiliki kampuni au biashara ya aina yoyote

    Kampuni ya Moms Consulting imeamua kurudisha kwenye jamii kwa kutoa ofa eneo la usajili wa makampuni na biashara(Company and Business name registration) na Ushauri wa kodi(Tax consultancy),kuanzia 22-02-2025 hadi 31-03-2025 kwa kuzingatia vigezo na mashariti ya ofa kama ifutavyo: 1.Kwa wateja...
  11. Suala la kulipia demu kodi ni gumu dunia kote sio kwa Mond tu

    Suala la kulipia demu kodi ni gumu dunia kote sio kwa Mond tu ndiyo maana nasemaga kuoa ni kwa ajili ya watu dhaifu 🤣 wanaume nice guy huwa inalipa kodi hadi milioni 3 eti..! Dah halafu unalikuta linalipa hiyo kodi hata bima ya afya hana. Mimi nakumbuka niliwahi kuachana na demu mmoja mseng&...
  12. B

    Bwege: Samia sio Mungu / baba mkwe wa Mchengerwa atalipwa pensheni / hajajenga barabarani kodi zetu

    15 February 2025 Ikwiriri, Rufiji Tanzania BWEGE : SAMIA SIO MUNGU / BABA MKWE WA MCHENGERWA ATALIPWA PENSHENI/ HAJAJENGA BARABARA NI KODI ZETU https://m.youtube.com/watch?v=XUXq98MwL5E Kiongozi wa ACT Wazalendo mzee Selemani Saidi Ally Bungara almaarufu kwa jina, Bwege ametoa hotuba ya...
  13. TAKUKURU Singida yabaini madudu miradi ya ujenzi wa Shule Singida, Kodi ya Zuio kutopelekwa TRA

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Singida imebaini madudu katika miradi inayotekelezwa katika halmashauri za mkoani hapa ambapo Kodi ya Zuio (Kodi ya Huduma) imekuwa ikikatwa lakini haiwasirishwi katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Mkuu wa TAKUKURU - Singida...
  14. K

    Msaada: Makisio ya kodi na ushuru bandarini

    Wakuu wazima? Katika process za kutoa kontena bandarini, naomba mwenye uelewa anifungue macho hapa. Ni kodi zipi na asilimia ngapi hulipwa kwa kontena la 40HQ, mzigo ni machines za kiwandani, rawmaterials na packages. Itapendeza kama nikipata mchanganuo wa gharama zote. Natanguliza shukrani..
  15. Anza mwaka kwa kufanya makadirio ya kodi kwa wakati: fanya makadirio ya kodi ya mapato mapema na uepuke adhabu

    Miongozo ya Makadirio ya Kodi ya Mapato kwa Mujibu wa Sheria ya Kodi ya Mapato, Sura ya 332, Kifungu cha 84 (Marekebisho ya 2023) Sheria ya Kodi ya Mapato, Sura ya 332, Kifungu cha 84 (kama ilivyorekebishwa mwaka 2023), inamtaka mlipa kodi (binafsi au kampuni) kuandaa na kuwasilisha makadirio...
  16. Pre GE2025 Mtandika: Tuache kusema Rais anatumia kodi zetu vibaya kwa safari za nje ya Nchi

    Huyu jamaa anajiita mtaalamu wa Protocol za uongozi Abobakary Mtandika,. binafsi ni jamii ile ile ya machawa tu. Soma Pia: Gharama anazotumia Rais kusafiri nje ya nchi zinarudishwaje? Akiwa katika harakati za kutetea baadhi ya mambo yanayo umiza wananchi
  17. "Ushauri Bora wa Kodi kwa Biashara Yako, mambo ya kuzingatia ili Kuepuka Adhabu mbalimbali

    Je, unahitaji huduma ya kitaalamu kuhusu mambo ya kodi? Tunaelewa changamoto zinazoweza kutokea zinazohusu aina mbalimbali za kodi na jinsi inavyoweza kuathiri biashara yako. Tunatoa huduma za ushauri kuhusu: 1.Ufanisi katika Kulipa Kodi: Kupata njia bora za kulipa kodi kwa kufuata sheria na...
  18. R

    Ni bora upange karibu na ofisi kwa kodi kubwa au upange mbali kwa gharama kubwa na usafiri wa taabu

    Upange karibu na ofisi kwa kodi kubwa Mfano: Upange kwa gharama X, umbali wa ofisi dakika 10 au Uende mbali kwa nusu ya kodi ya kuwa karibu, Gharama za usafiri kubwa na usafiri ni taabu Mfano: Upange mbali kwa nusu ya gharama X, usafiri laki 1, unaamka alfajiri kuwahi usafiri
  19. Kuna Matumizi Mabaya sana ya Fedha za Walipa Kodi nchini Tanzania

    Msingi Mkuu wa CCM kukataa KATIBA MPYA unatokana na KATIBA ILIYOPO KUWAPA NGUVU Wanasiasa kuliko Watendaji hivyo Wanasiasa kutapanya pesa za wananchi kwa namna wanavyojisikia wao bila hofu ya kufanywa chochote kile. Na fedha hizo wanasiasa wanazitumia kwa maslahi yao binafsi na CCM. Kusema...
  20. JANETH MAHAWANGA; Anauliza; Ni Upi Mpango wa Serikali wa Kuhakikisha Jamii Inapata Uelewa Kuhusu Umuhimu wa Kulipa Kodi na Kudai Risiti?

    JANETH MAHAWANGA, Mbunge wa Viti Maalum; Anauliza; Ni Upi Mpango wa Serikali wa Kuhakikisha Jamii Inapata Uelewa Kuhusu Umuhimu wa Kulipa Kodi na Kudai Risiti? Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad chande amesema kuwa Serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali ili kujenga uelewa kuhusu umuhimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…