kodi

  1. Kushusha Kodi ya Ngano Inayotoka Nje ni Kuifanya Ngano ya Ndani Ikose Soko

    MBUNGE MHE. SANGA - KUSHUSHA KODI YA NGANO INAYOTOKA NJE NI KUIFANYA YA NDANI IKOSE SOKO Mbunge wa Jimbo la Makambako Mkoani Njombe, Mhe Deo Sanga ameiomba serikali kutopunguza Kodi Kutoka 35 Mpaka 10 kwa wazalishaji wa Ngano kutoka nje ya Nchi kwani kufanya hivyo ni kutoa thamani ya Mzalishaji...
  2. SoC03 Chanzo cha malalamiko juu ya mfumo wa kodi, suluhu ni lipi ili kuhamasisha walipa kodi

    UTANGULIZI Kodi ni muhimu kwa kila mwananchi, kwa maana hutoweza kuiwajibisha serikali kama hulipi kodi. Pia ni muhimu kulipa kodi ili kupata huduma bora kama elimu, ulinzi, afya na miundombinu. Mbali na umuhimu wa kulipa kodi, Tanzania imekua ikikumbwa na malalamiko juu ya juu ya sheria tofauti...
  3. Mbunge Boniventura Destery Kiswaga (CCM) Aishauri Serikali Kuongeza Kodi Mafuta Yanayozalishwa Nje

    MBUNGE BONIVENTURA KISWAGA AISHAURI SERIKALI KUONGEZA KODI KWENYE MAFUTA YANAYOZALISHWA NJE Mbunge wa Jimbo la Magu (CCM), Mhe. Boniventura Destery Kiswaga ameishauri Serikali kuongeza kodi katika mafuta ya kula yanayoagizwa kutoka nje ya nchi na kuondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye...
  4. Dkt. Mwigulu Liangalie kwa Mapana Zaidi Suala la Kodi Kwenye Matangazo ya Biashara Mtandaoni

    Mwigulu nadhani ungeangalia hilo kwa mapana zaidi maana wewe upo kwenye kodi mpya mpya kila siku za kudumaza maendeleo nimeshangaa wengine wapo busy kwenye kuitangaza Tanzania kwenye biashara ya utalii na wewe unakuja na kodi kwenye matangazo sidhani kama pana kampuni za utalii zitapata wateja...
  5. Naomba kueleweshwa kwa wataalamu wa kodi za kuingiza magari nchini

    Wataalamu wa kodi za magari naomba nieleweshwe kidogo juu ya hotuba ya Jana ya mawasilisho ya budget ya serikali kwa mwaka 2023 /2024. Moja wapo ya kipengele ni magari yanayotumia umeme na gesi kusamehewa kodi Pili kuna hii ya magari yenye kuanzia 1000 cc hadi 2000cc kutozwa ushuru wa 5% na...
  6. Kenya: Serikali kuanzisha Kodi mpya kwenye Sukari inayoagizwa Nje ili kudhibiti Kisukari

    Uamuzi huo umetangazwa na Waziri wa Fedha wa #Kenya, Njuguna Ndung'u wakati akisoma Bajeti ya Serikali ya Tsh. Trilioni 62.75 iliyowasilishwa Bungeni Juni 15, 2023 sambamba na baadhi ya Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki zikiwemo #Tanzania na #Rwanda Kwa mujibu wa Waziri huyo...
  7. Benki ya Dunia yaitahadharisha Kenya kuhusu ongezeko la Kodi

    Benki ya Dunia imeionya Kenya kutokana na ongezeko la kodi katika mwaka mpya wa fedha ujao, ikisema ongezeko hilo linaweza kupunguza na kuathiri shughuli za kiuchumi katika nchi hiyo. Muswada wa Wizara ya Fedha wa 2023 Kenya unapendekeza ongezeko la kodi kwenye maeneo kadhaa na kupendekeza kodi...
  8. Dkt. Mwigulu: Tusamehe ushuru wa magari ya umeme na Gesi

    Ili kuiwezesha Nchi kuwa na Sera za Kodi zinazotabirika na kuweka mazingira bora ya uwekezaji, Serikali imependekeza kufanya marekebisho kwenye Sheria ya Ushuru Kwa kuanzisha utaratibu wa kurekebisha viwango vya Ushuru wa Bidhaa kila baada ya miaka mitatu (3) Kuanzia mwaka wa fedha 2023/24...
  9. K

    Nakubaliana na Serikali kuanzisha Kodi kwenye matangazo ya biashara mitandaoni. Wataanzani wanaharibu dhana nzima ya "digital marketing"

    Leo nimesikia kitu kilichonifurahisha sana kutoka wa waziri wa fedha wakati akiwasilisha bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2023/2024 nalo ni kuja na mpango wa kuanza kukusanya Kodi kwenye matangazo ya biashara mitandaoni. Sijajua kwa upande wa Serikali ukiachana na kukusanya Kodi kwenye...
  10. Bajeti yapendekeza kusamehe Kodi ya ongezeko la thamani kwenye uuzaji na ukodishaji wa ndege

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza kwenye hotuba yake ni kusamehe Kodi ya ongezeko la thamani kwenye uuzaji na ukodishaji wa ndege, injini...
  11. R

    Serikali kuanzisha mfumo wa kidigitali kukusanya kodi kwenye matangazo ya mitandao ya kijamii

    Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha na Mipango wakati anawasilisha Bajeti ya 2023/2024 amesema kutokana na ukuaji wa teknolojia, biashara nyingi zinafanyika mtandani na hivyo matangazo yanayofanywa kukuza bishara hizo kwenye mitandao ya kijamii kama Instagram, Facebook, Twitter na blogs mbalimbali...
  12. Bajeti yapendekeza kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha 20% kwenye mashine za Kamari

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza kwenye hotuba yake ni kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha 20% kwenye mashine za Kamari zinazoingizwa...
  13. Bajeti Kuu, 2023-2024: Kodi kufutwa kwa kila line ya simu kulingana na uwezo wa kuweka salio

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, leo June 15, 2023 wakati akisoma bajeti kuu ya serikali amesema kuwa anapendekeza kufutwa kwa kodi kwenye kila line ya simu kulinaa na uwezo wa kuweka salio. "Napendekeza Kufuta tozo kwa kila laini ya simu kulingana na uwezo wa kuongeza salio kwa watumiaji ili...
  14. Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba: Kodi sio jambo la Rais, kodi sio jambo la Waziri wa Fedha, kodi sio jambo la TRA, kodi ni jambo la Nchi

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba kuna baadhi ya Wanasiasa wanasema kodi zinatozwa nchini ni za Rais wa Tanzania...
  15. P

    Kwanini kodi ya magari mapya ni kubwa kuliko kodi ya magari ya miaka ya zamani? 2)

    Habari wana JF, Mimi naomba kuuliza: 1). Hivi ni kwanini kodi ya magari mapya ni kubwa kuliko kodi ya magari ya miaka ya zamani? 2). Inakuaje kodi ikawa kubwa kuliko bei ya kununua+kusafirisha hadi linafika bandarini Dar es Salaam?
  16. S

    Nisaidieni hii hesabu ya makato kuhusu kodi ya TRA maana nahisi nahujumiwa

    Wakuu habari za muda huu. Kuna kampuni hivi jina niipe jina la X imefilisika, kwa hiyo ikabidi wafanyakazi wasitishiwe mikataba yao (redandacy). Hivyo basi kwa sababu hilo suala liko kisheria (kupunguzwa kazini) ikanibidi na mimi niwemo kwenye orodha ya wanaopunguzwa kazini. Sheria zote...
  17. Tofauti ya pango la ardhi na kodi ya nyumba

    Katika matangazo yanayotolewa Kuna Kodi zinatajwa Kwa wadaiwa sugu. Ile inayokatwa kwenye umeme na inayodaiwa ikalipwe wizara ya ardhi zinatofaiti ipi. Wananchi sijamuona hata mmj anayekwenda kulipa hizi Kodi. Msaada wa utambuzi
  18. Msukuma: Sikuhongwa gari ili kuwatetea DP World. Nimelipa kodi bila exemptions ili walimu wapate mishahara

    Akizungumzia tuhuma za kupewa gari ili atetee DP World kusimamia na kuendehs bahari nchini, mbunge Joseph Musukuma amesema gari aliyonayo amenunua kwa hela yake na amelipa ushuru milioni 130 ili walimu wapate mishahara kama angetumia tax exemptions angelipa ushuru wa milioni 45. Amesema mtu...
  19. Je, hatuogopi kashfa za rushwa na ukwepaji kodi za DP-World?

    Nimeangalia kampuni kubwa 12 za usimamizi wa bandari Duniani, nimegundua DP-World ndio kampuni pekee yenye kashfa ya Rushwa na Ukwepaji kodi duniani. Rank Company Name Headquarters 12 China Merchants Port Holdings Company Limited Central Hong Kong 11 Hutchison Port Holdings Trust...
  20. Benki ya Dunia: Kodi mpya zilizotangazwa na Serikali ya Kenya zitaharibu uwezo wa fedha kununua bidhaa

    Benki yaDunia imesema uwezo wa kununua wa kaya za chini utaathiriwa vibaya na mapendekezo ya hatua za mpya za ushuru katika Muswada wa Sheria ya Fedha wa 2023 WB imesema kuna uwezekano mkubwa suala hilo likaongeza shinikizo la sasa la mfumuko wa bei kutokana na kuongezeka kwa bei za bidhaa za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…