kodi

  1. Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo, leo Mei 17, 2023. Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kimataifa la Kariakoo wametoa malalamiko mbele ya Waziri Mkuu ambapo wameilaimu TRA kwa kutokufuata taratibu sahihi za...
  2. B

    Ni vigumu kulipa kodi halali labda unataka kufilisika

    Kwa mfanyabiashara mdogo na mkubwa kulipa Kodi Halali ni vigumu sana,akilipa Kodi Halali ajiandae kufunga biashara yake (kufirisika) viwango vya Kodi ni vikubwa mno. Wafanyabiashara wengi wanaamua kutumia mbinu kama kusema uongo juu ya mauzo ya Kila siku Ili akadiriwe Kodi kidogo,kufoji...
  3. Wafanyakazi wa TRA nanyi fungueni maduka Kariakoo mlipe kodi hizi

    WAFANYAKAZI WA TRA FUNGUENI MADUKA KARIAKOO NANYI MLIPE KODI HIZI Mimi mfanyabiashara nacomply,ukiniita nakuja,nadaiwa Milioni 100 nimelipa yote bado Milioni 3 mnanifungia mashine,basi fungueni nyinyi maduka mlipe na hizi kodi zote, 1. Kodi ya mzigo unapoingia bandarini. 2. Kodi ya mapato...
  4. K

    Uwekezaji katika maeneo muhimu na ya kimkakati ya biashara yawe chini ya udhibiti wa Serikali. Ya Kariakoo yanaweza kujirudia kwingineko.

    Nianze kwa kusema kwamba kama Serikali ingekuwa na umiliki wa moja kwa moja wa eneo la Kariakoo ,hakika tusishuhudia mgomo wenye kuumiza walaji kama inavyoshuhudiwa. Huu ndio ushauri wangu kwa serikali yangu sikivu, sekta binafsi zinasaidia kwa kiasi kusaidia kukua kwa uchumi lakini sekta...
  5. Rais Samia naskia upo JamiiForums, basi pitia hapa

    Mama ili Nchi iendelee inatakiwa watu walipe kodi ila lazima uangalie namna unavyowakamua wananchi wako namna unavyowaumiza na sio kuwadai kodi kwa mabavu Mama mtu anaagiza mzigo China ukifika Bandarini analimwa kodi kubwa alatu mtu huyo huyo akifikisha mzigo wake store bado mnataka alipe kodi...
  6. Kwamba Tumefikia Mahala Mfanyabishara Anabembelezwa Kulipa Kodi?

    Kwamba Tumefikia Mahala Mfanyabishara anabembelezwa kulipa Kodi na anaamua kulipa Kodi anayojigangia si ndio? Kwamba mfanyabishara wa Tanzania atalipa Kodi bila task force eti maagizo si ndio? Kwamba mfanyabishara ni ruksa kuficha bidhaa kwenye stoo bubu na kuziuza huko huko bila kulipa Kodi...
  7. Serikali ianzishe "Maafisa Kodi wa Kata" na TRA ianzishe "mawakala" wa TRA

    Huu mzozo wa Kodi Kariakoo ni sehemu ndogo Sana ya matatizo ya Kodi nchini. Matokeo yake kuna wasiolipa Kodi wakiamini ni ujanja. Kuna wanaolipa Kodi zaidi ya kiwango wakikosa elimu husika. Kuna wasiolipa Kodi stahiki pia wakikosa elimu stahiki ya Kodi n.k.. Ushauri wangu Kwa serikali lazima...
  8. Wafanyabiashara kama mnaona Kodi Kubwa Mhamie Burundi

    Wasitutishe, wasitubabaishe. Lazima kuwe na tozo na kodi mbalimbali. Haya ma vieti mnadhani ni mengi hivi sababu wajapan wanatupa bure? Mnadhani yanatumia maji? Au yanatumia upepo? Burundi nadhani maisha ya kule ni rahisi zaidi kwa mujibu wa Mwigulu Nchemba. Wanasiasa walio empty kichwani...
  9. SoC03 Mfumo bora wa kodi ni chachu ya maendeleo kwa taifa

    Habari za muda huu wanajamvi. Mifumo Bora wa Kodi ni nini na umuhimu wake? Mfumo bora wa kodi unaweza kutofautiana kulingana na malengo na mahitaji ya nchi husika. Hata hivyo, kuna mifumo kadhaa ya kodi ambayo imekuwa ikitekelezwa katika nchi mbalimbali. Hapa kuna mifumo miwili inayotumiwa...
  10. Hivi ni kweli hizi kodi ziko nchi hii au watu wanasema uongo kumchonganisha Samia na wafanya biashara? Huu ni zaidi ya msiba!

    Mh Rais ni kweli umeamua kuuwa uchumi na biashara kabisa? Hivi kweli umeruhusu kadi za namna hii? Hii nimeikopi kwa mwana jf wakukurupuka1 Nanukuuu “Leo Kuna mgomo kwa wafanya biashara soko kuu kkoo kutokana na kila wiki uzinduzi wa kodi mpya Baadhi ya kodi unazotakiwa kulipa 1: TRA. 2: FIRE...
  11. Kodi ikatwe kutumia line za simu ili wengi tulipe

    Kama line hizi zote zikikatwa 10% ya matumizi 1. kila mtu atakuwa amepewa haki yake ya kulipa kodi 2. mapato ya serikali yataongezeka kwa gharama ndogo
  12. Utekelezaji wa ukusanyaji wa kodi ya majengo kupitia mita za luku

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA )kwa Kushirikiana na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) tunapenda toa ufafanuzi kuhusiana na Utekelezaji wa ukusanyaji wa kodi ya majengo kwa kutumia njia ya ununuzi wa umeme kwa wamiliki wa majengo ya Ghorofa kama kiambatanisho hapa
  13. B

    Kodi ya majengo kupitia luku baadhi ya watu wanaumia Kwa kuibiwa

    Najihusisha na huduma za uwakala na Moja ya huduma ninayoitoa ni manunuzi ya umeme ambapo serikali pia hukusanya Kodi ya majengo Kwa TSH 1000 Kwa Kila mwezi,Kuna malalamiko mengi kutoka Kwa wateja. Mosi, kukatwa Kodi isiyo halali(kuibiwa),mfano Kuna mteja alinunua umeme mwezi machi, Leo Mei...
  14. Elimu ya Mlipa Kodi Yaendelea Kutolewa Chalinze Mkoa wa Pwani

    MHE. SUBIRA MGALU ATOA ELIMU YA MLIPAKODI CHALIZNE MKOA WA PWANI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu ambaye ni Balozi wa kuhamasisha kulipa kodi tarehe 2 Mei, 2023 aliwahamasisha wafanyabiashara wa eneo la Mdaula Wilayani Chalinze kuhusu masuala mbalimbali ya kodi wakati wa...
  15. DOKEZO: Matangazo yanayoingia kwa SMS yatozwe/yaongezewe kodi

    Mitandao ya simu imekuwa ikituma matangazo yao mbalimbali kwa njia ya SMS kama vile M-KOBA, SONGESHA, VODABIMA, 15350, VodaTaarifa, Vodacom Ofa, M-PAWA, LipaKwaSimu, TigoPesa, TigoNivushe, 15571, BUSTISHA, TIGOPEKEE na SMS Code zingine. Matangazo haya pamoja na kwamba yanaweza yakawa...
  16. Bakar Hamad Bakar: Bidhaa Inayotoka Zanzibar Kuja Bara Isilipishwe Kodi

    MHE. BAKAR HAMAD BAKAR - BIDHAA INAYOTOKA ZANZIBAR KUJA BARA ISILIPISHWE KODI KODI ZA BANDARINI KERO KWA WANANCHI Mbunge wa Baraza la Wawakilishi katikaBunge la JMT (Zanzibar) Mhe. Bakar Hamad Bakar akiwa anachangia bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira amesema pamoja na...
  17. Mbunge: Kwanini mwananchi akileta TV Bara kutoka Zanzibar analipia kodi wakati nchi ni moja?

    Haiwezekani mwananchi amesafiri kutoka Zanzibar na TV moja used anakuja kutumia nyumbani anafika Bara anaambiwa alipe kodi na hii ni nchi moja, akini anayetoka Morogoro kwenda Dar halipi kodi, lakini anayetoka Zanzibar kuja Bara alipe kodi, hii ni kero kubwa,"- Bakar Hamad
  18. D

    Kwanini huwa tunalipia kodi ya pango la ardhi wakati ardhi tumeikuta ipo bure? Why?

    Mambo mengine mtu ukiwaza unaona kabisa maisha ni mepesi kimtindo lakini kuna baadhi ya wanadam wenye dhamana ya uongozi ndiyo waliyoyafanya maisha yawe magumu! Tumeumbwa ardhi ilikuwapo, tumepata Uhuru, ardhi ilikuwapo milele hadi milele yote! Sasa kwanini tunalipia kodi ya pango la ardhi...
  19. Fahamu kuhusu hisa za kampuni binafsi (shares of private company)

    HISA ZA KAMPUNI BINAFSI Hisa za kampuni binafsi ni hisa zinazomilikiwa na watu wachache ambao wamealikwa na kampuni kushiriki katika umiliki wake. Kampuni binafsi mara nyingi hazina nia ya kuorodheshwa kwenye soko la hisa na kuuza hisa zao kwa umma. Kwa kawaida, hisa za kampuni binafsi...
  20. B

    Swali kwa Rais Samia: Tukope nje Trilioni 1 kwa masharti au tudhibiti wizi wa Trilioni 2 kodi za Watanzania?

    Kiukweli pamoja na kazi nzuri anazofanya Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan pamoja na watumishi wema na wanaomshauri vizuri juu ya ustawi wa Taida letu la Tamzania ni vizuri tuliangalie na hili. Mpaka sasa yayumukinika kuwa Wizi na upotevu wa pesa za umma zinazoishia mikononi mwa watu wachache hasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…