Antoine Christophe Agbepa Mumba (13 July 1956), known professionally as Koffi Olomidé, is a Congolese Soukus singer, dancer, producer, and composer. He has had several gold records in his career. He is the founder of the Quartier Latin International orchestra with many notable artists, including Fally Ipupa and Ferré Gola.
𝐊𝐎𝐅𝐅𝐈 𝐎𝐋𝐎𝐌𝐈𝐃𝐄 𝐕𝟏𝟐 𝐀𝐋𝐁𝐔𝐌
Ni albam ya 13 ya Koffi Olomide. Iliachiwa mapema mwaka 1995. Kwa mujibu wa Tutu Roba, mdogo wake Koffi hii ndo albamu bora zaidi ikifuatiwa na Efrakatta. Kipaji kilitumika haswa. Hii album ilinikuta tayari niko shule ya msingi. Nadhani mwaka 1995 albam nyingi kali za...
Kwani kwa Ukung'utaji wake wa Gitaa tamu na nilipendalo la Solo naona anataka Kuwatishia kabisa Amani Wapiga Solo HATARI wa Wenge Musica BCBG (yake JB Mpiana) aitwae Mitre Ficare Mwamba na Flam Kapaya wa Wenge Maison Mere ya Werrason.
Kuna Wimbo mmoja Mtamu kama si Mzuri wa Koffi Olomide uitwao...
Hii ngoma ni kali sana na nmeisikiliza bila kujua tafsiri yake kwa muda mrefu sasa,
Naona tu kina Boure mpela, Soleil wanga, fally ipupa, Bebe kero, Brigate sarbati, na Fally ipupa wakilalamika bila kujua wanamaanisha nini
https://youtu.be/xtE9cdjeoh0?si=RG2Qy-xTNaNwK9JL
Hebu mwenye tafsiri...
Hapa Koffi Olomide aliwekeza akili zote hii ngoma ni kali sana, nimekua nikiirudia zaidi ya mara moja kila nikiisikiliza.
Kuna ngoma kali kuishinda hii?
https://www.youtube.com/watch?v=ETzJwQlXTsE
Naomba ewe Mwana Simba SC ingia upesi YouTube na utafute huo Wimbo wa "Acquitte' kisha tushee pamoja Maumivu ya Kuukosa Ubingwa wa NBC Mwaka huu na Tusi zito la Nguoni lililoanza na Neno Kolo (tulilopewa na Haji Manara) kisha kwa umakini wako kabisa lisikilize hilo Neno la Pili baada ya Neno...
KOFFI OLOMIDE ACHAPWA TENA
Baada ya kukosekana kwa miaka 11, Koffi Olomide alitarajiwa kutumbuiza katika ukumbi wa Paris La Defense Arena, mojawapo ya kumbi kuu za burudani barani Ulaya, akirejea Ufaransa.
Msanii huyo maarufu nchini Congo na Afrika, ambaye kwa sasa anaishi Ufaransa, ni miongoni...
Nimeona kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii MISUKULE wakilalamika kuwa mwanamuziki Koffi OLomide a.k.a Papaa Ngwasuma hakuwatendea haki jana (katika tamasha la wananchi). Kuwasaidia tu ni kwamba Papaa ametekeleza matakwa ya mkataba alioingia na wenye timu yao (GSM). Yeye kama mwanamuziki...
Tamasha la Mwanamuziki wa Kikongo lililoandaliwa a Club ya Yanga kama sehemu ya kusherekea mafanikio yao ya ligi katika msimu uliopita kwa kuweza kumaliza nafasi ya pili nyuma ya Mabingwa wa Ligi kuu SImba linatarajia kufana na kujaza wapenzi wengi wa muziki wa Kikongo.
Vile vile Club ya Yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.