kokoto

Spyros Kokotos (Greek: Σπύρος Κοκοτός) is a Greek architect born in the city of Herakleion, Crete on October 30, 1933, to (father) Fotis (Greek: Φώτης) a.k.a. "Takis" (Greek: Τάκης) Kokotos and (mother) Anna Varouha (Greek: Αννα Βαρούχα).

View More On Wikipedia.org
  1. St. Paka Mweusi

    Mchanga na Kokoto..

    Wadau naomba kujua gharama ya kuniletea Mchanga wa Kibahaa Lori 1 na Kokoto toka Lugoba.. Nipo maeneo ya Kibamba.. Hapa kwenye kokoto sijaamua bado kama ninunue Kokoto za kwenye Semi au Mende. Kama kuna mdau wa biashara hizi naomba aje na bei zake.. Natanguliza shukrani..
  2. Mwachiluwi

    Jinsi ya kutengeneza kokoto na juice

    weekend napenda kutengeza beats kwasababu kuu moja katika ya wiki naweza rudi nimechoka na njaa nikakosa cha kula beats zikanisev nikala nikalala weekend hii niliamua kutengeneza kokoto mahitaji .Unga wa ngano .sugar .baking powder .chumvi .irick .maji .blueband . mafuta chukua unga...
  3. Bob Manson

    Ni zipi sababu za matumizi ya kokoto katika ujenzi wa reli?

    Habari za wakati huu wanajukwaa Naomba mnitoe ushamba na mtujuze kwa wale ambao hatufaham ni sababu zipi za kiufundi hupelekea matumizi ya kokoto katika ujenzi wa njia za reli.
  4. A

    KERO Kero Barabara ya Kilwa eneo lijulikanalo kama Kokoto kuelekea daraja la Mzinga jijini Dar

    Naomba kuulizia, ni nini hasa kinachoshindikana kwa serikali kukijenga kipande hiki cha Barabara kisichozidi hata kilomita mbili na kuondokana na usumbufu unaosababisha msongamano wa magari katika eneo hili? Kipande hiki ni chembamba na kina mteremko mkali na daraja ambapo mara kwa mara...
  5. M

    Inasemekana kutembeatembea kwenye Mawe au kokoto ni Tiba nzuri Ya viungo vya mwili

    Habari za mida wakuu, Penye wengi pana mengi katika pitapita zangu mtandaoni nikaona post MTU akielezea kuwa ...kusimama kwenye Mawe madogo madogo kama kokoto ni tiba nzuri ya maumivu ya miguu Na mgongo Na joints. Hilo zoezi unafanya kila siku asubuh Na jioni Kwa muda wa dk 15 mpaka 30...
  6. Dasizo

    Hivi kokoto zinafanya kazi gani kwenye reli?

    Wanajamii naombeni mnijuze kazi ya kokote kwenye reli, najiuliza sipati jibu
  7. S

    Naomba kujuzwa zaidi kuhusu mashine ndogo ya kupasua kokoto

    Habari wanajamvi, Samahani naomba kujua kuhusu mashine ya kupasua kokoto, namna inavyofanya kazi, uwezo na bei yake, yeyote mwenye kujua tafadhali msaada Huwa naiwaza sana hii kitu
  8. ommytk

    Kwa wanaoagiza mchanga au kokoto tunaibiwa aisee kumbe uwa wanapunguza njiani kuna vituo

    Yaaani leo kuna kitu nimejifunza kwa wale wajengaji hii sijui kama mnaijua aya malori liwe la mchanga au kokoto yana utaratibu wana vituo njiani. Wanapunguza mzigo ule ambao wewe uliagiza na ushalipia yaaani wanaoaki wanatoa turubai wanapunguza mzigo wa kutosha wakija site kwako wanafikia...
  9. ommytk

    Wazo kwa manispaa ya Kigamboni; Anzisheni dampo katika mashimo yaliyofungwa yaliokiwa yanachimbwa kokoto Mji Mwema

    Nina wazo ila sijajua kuhusu watu wa mazingira kwao wataonaje hili jambo ila tu nawaza kile ambapo manispaa ya kigamboni mji mwema wanapogombana na wananchi kila mwaka na kupelekea kujua watu kwanini manispaa wasianzishe dampo ambapo watapata pesa na pia lile eneo litafukiwa na kupata eneo kama...
  10. Mdaiwa-Sugu

    Je, Pesa za IMF zimeanza kupigwa? Wananchi wanasomba Mawe na Kokoto kwaajili ya ujenzi Madarasa

    Tuliambiwa tozo za miamala ya simu ni kwaajili ya ujenzi wa madarasa. Kadhalika, juzi kati serikali ya mama samia imekopa kiasi cha zaidi ya trioni moja kutoka IMF ambapo zaidi ya mabilioni ya pesa kwenye huo mkopo yametengwa kwaajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa kama sehemu ya maandalizi ya...
  11. C

    Nahitaji jaw crusher mashine ya kokoto

    Wadau naomba kama Kuna mtu Ana jaw crusher ya bei nzuri. Mashine ya kutengeneza kokoto nahitaji kama unayo au pengine unaweza kuniuzia au kukodisha nitashukuru
  12. R

    Nataka kufungua kiwanda cha kuponda na kukatakata plastic Bottle (PET bottle crusher)

    Habar wana jamii forum polen na majukumu leo nimeona nije na hii mada ngumu naomba kwa wenye uzoefu mnipe mbinu na changamoto za hii biashara Nina mpango wa kufungua kiwanda cha PET BOTTLE RECYCLING kiwanda cha kusaga na kukata chupa za plastic nimeongea na kampuni moja ipo china jina kapuni...
Back
Top Bottom