Wakuu,
Hivi ndio kusema kwamba amezidiwa na mapenzi au ndo muziki unaanza kumtupa mkono?
Simba aliachia Komasava Mei 2024 na tangu hapo hakuna project ya maana aliyoitoa.
Ametoa ngoma 4 ambazo ni Raha, Holiday, Moyo na Nitafanyaje zote zimebuma.
Huyu atakuwa na shida gani? Au ndo muziki...
Mmiliki na Mkurugenzi wa EFM na TVE Francis "Majizzo" Ciza ametaja Playlist ya ngoma zake 20 bora kwa mwaka 2024 na ameiweka Komasava ya Diamond namba moja na katika orodha hiyo Marioo ndio jina la msanii lililotokea mara nyingi zaidi.
Soma, Pia: Diamond Platnumz namba moja kwa kutazamwa...
Diamond ilitakiwa atulize kichwa katika uandishi wa mashairi, nchi za wenzetu wanapenda songs with content and well understandable lyrics, fluent language,
Nasikitika sana kuona msanii wetu Diamond anaimba ugolo bila yeye mwenyewe kujua, nadhani ingekuwa ni vizuri kama angepata mwandishi mahiri...
WCB wametangaza kuwa Diamond amewasilisha wimbo wa Komasava kuwania Tuzo za Grammy mwaka kesho.
Komasava imewasilishwa katika vipengele vya Best Music Video na Best African Music Performance.
Mnadhani atashinda mbele ya Burna Boy, Wizkid na magwiji wengine?
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, alimzawadia Diamond Platnumz KEKI kwenye kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwake hapo jana Oktoba 2 na kula pamoja diko la birthday nyumbani kwa Staa huyo wa Bongo Fleva.
Diamond alishukuru Waziri kwa heshima hiyo na kutoboa siri kuwa Waziri alihusika kupendekeza wimbo...
Katika tamasha la kipekee la DSTV Delicious Festival, wasanii nyota Diamond Platnumz, Chley, na Khalil walipiga show ya kali, wakitumbuiza pamoja na Jason Derulo. Hii ilikuwa ni mara ya kwanza kwa Derulo kupanda jukwaani na kuimba kolabo yao mpya, "Komasava" remix na mashabiki kuonesha vibe kubwa.
afrika
afrika kusini
chley
chris brown kucheza komasava
diamond
dstv delicious festival
jason darulo wa kenya
jason derulo
jukwaa
khalil
komasava
kusini
moto
Yani unakuta dogo wa form 1 au 2 ameshakalili dance moves zote za chino lakini ukimuuliza hivi unamjuaje hitler eti anakuuliza "hivi aliimba wimbo gani vile" ahah
Sio kila mtoto atachukulia yaliyomo kwenye tv ni burudani tu mwingine anachukulia kama inspiration ya lifestyle yake.
Anyway sio...
#KOMASAVA ON THE USA BILLBOARDS CHARTS 🇺🇸🤝
#komasava Unakuwa Wimbo Wa Kwanza Kutoka Tanzania Kuingia Kwenye Charts Za Billboards Marekani (Billboards U.s Afrobeats Songs Top 50) Na Kushika Nafasi Ya #39 Ikiwa Ni Ingizo Jipya 🤝🗺
#KOMASAVA TO THE WORLD 🌎
Msaniii pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara hatimaye Leo kaachia video la Dunia inaitwa Comasava hili goma sisi yanga day 🙌tuta enjoy sana kwa mkapa Cc ephen_
Hapa director folex katisha sana hii video kalii sana
Comasava yanga day 🙌
https://youtu.be/RpZRtX2mQdc?si=Zb8NmX8hb3Up3Hvz
Ndugu zangu mafanikio hayakufuati ukiwa umeketi nyumbani kwako, lahasha, ni lazima uyafuate tena kwa juhudi ya hali ya juu.
Star wa bongo fleva Diamond Platnumz ni miongoni mwa vijana wapambanaji, miezi kadhaa nyuma kijana huyu mpambnaji alifunga safari kwenda nchini Marekani, huku lengo kuu...
Hili suala la wimbo wa Diamond Platnumz kuchezwa na Chris Brown linadhihirisha ni kwa kiasi gani hii nchi ina maajabu ulimwenguni.
Yani leo kila sehemu unayopita ni Chris Brown kampost Diamond SMHO.
Yani Chris Brown leo ametukuzwa kila mahali, kiasi kwamba Chris akijua kinachoendelea hapa Tzzz...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.