Kivumbi cha Mashindano ya CHAN 2024 kuanza Jumamosi hii, Agosti 2,2025, Tanzania ikifungua dhidi ya Burkina Faso kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, huku Magwiji wa soka Mrisho Ngasa, Victor Wanyama na Denis Onyango wakishiriki katika uzinduzi rasmi wa Kombe la TotalEnergies CAF CHAN
Soma zaidi...