UPDATES KUHUSU KOMBO MBWANA TWAHA, TANGA
TAREHE YA KUTAJWA KWA KESI
Leo Kesi ya Jinai namba 19759/2024 ilitwa mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Mheshimiwa Moses Maroa wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga kwa ajili ya kuja kutajwa (Mention)
MASHITAKA DHIDI YA KOMBO
Tarehe 16/07/2024 Kombo Mbwana...