Akiongea na Wasafi FM leo Spika wa bunge Mh. Tulia Ackson amesema anashangaa kwanini hadi leo hii polisi bado inamshikilia Kombo Mbwana kada wa CHADEMA.
Mbwana alipotea tangu June 15 baada ya kutekwa nyumbani kwake na watu wasiojulikana huko Tanga, awali polisi ilikana kuwa naye baadae ikakiri...
Baada ya mvutano wa siku kadhaa kuhusu dhamana ya kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, Kombo Mbwana, Mahakama ya Wilaya ya Tanga imeuhitimisha kwa kufunga dhamana yake.
Uamuzi wa kufunga dhamana umetolewa Alhamisi, Septemba 5, 2024 na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya...
Leo Alhamisi, Septemba 5, 2024 ni siku nyingine ya matumaini kwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Tanga, Kombo Mbwana, anayekabiliwa na kesi ya jinai, kurejea uraiani kwa dhamana.
Uamuzi huo unatarajiwa kutolewa na Mahakama ya Wilaya ya Tanga, kuhusiana na maombi...
Naamini kuna juhudi kubwaa zinafanyika chinichini ila wakati umefika mnatakiwa mtoe official stetement kuhusiana na dhamana ya Kombo.
Najiuliza hivi haya angekuwa ametendewa Heche au Lema kungekuwa na utulivu hivi? Polisi na mahakama wamewashinda ujanja?
Mwanachama wenu ataendelea kusota...
Baada ya kutoa UPDATES za kuhusu kutelekezwa Wazazi wa KOMBO nje ofisi ya RPC Tanga bila ruhusa ya kumuona mtoto wao na msaada wowote Na baadae Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini wa CHADEMA Godbless Lema kuwapigia Jeshi la Polisi Tanga.
Mchana huu wazazi wa KOMBO na waliokuwa ofisi za RPC Tanga...
Wajibu namba Moja wa Jeshi letu la Polisi nchini ni kuwalinda raia na Mali zao.
Sasa inapotokea Jeshi hilo ndilo linalohusika Kwa kiasi kikubwa na kupotea Kwa raia nchini, wananchi wa nchi hii watakosa kuliamini Jeshi lao la Polisi, jambo ambalo ni la hatari kubwa sana.
Siku ya Jana tarehe 14...
Tuliopitwa na tukio hili pitia hapa ambapo mke alisimulia kupitia gazeti la Mwananchi mume wake Kombo alivyotekwa na watu wasiyojulikana - Jumanne Julai 2, 2024
====
Handeni. “Niliamka asubuhi nikaanza kufanya usafi, akaja mtu mmoja akawa anazunguka hapa nyumbani kwetu, tukasalimiana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.