Jumuiya ya wafanyabiashara wakubwa wa Jamhuri ya Korea imethibitisha nia yake ya kuendelea kushirikiana na Tanzania katika uwekezaji na biashara, huku ikipongeza hatua kubwa zilizofikiwa katika kuimarisha sekta za miundombinu nchini, ikiwemo barabara, reli, bandari na huduma za usafirishaji...